Oral interview CRDB

Oral interview CRDB

calisy

Senior Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
104
Reaction score
9
habari naomba mnijuze oral interview crdb ziko vip natanguliza shukrani
 
Ulisomea biashara au dr mifugo? Na kwanini hujiamini?
 
Naona alisoma cookery kwanza wote walioitwa wako attached crdb for more than 3months na walushaenda aptitude test sasa unakuja kuuliza nini hapa au unataka tujue umeitwa interview. Toka zako
 
Kitu kikubwa interview ni kujiamini.
Mwombe Mungu.

My first interview, ile naingia tu ila nihojiwe, simu ilidondoka...betri kule mfuniko huko simu uvungu wa meza.
Confidence iliishia pale, nikawa tu nimeattend kusindikiza.

Nakitakia interview njema
 
Kitu kikubwa interview ni kujiamini.
Mwombe Mungu.

My first interview, ile naingia tu ila nihojiwe, simu ilidondoka...betri kule mfuniko huko simu uvungu wa meza.
Confidence iliishia pale, nikawa tu nimeattend kusindikiza.

Nakitakia interview njema

Ungeipotezea kwanza usaili uishe,,wakati unasepa unaiokota.
 
jua mission statement

jua faida zao na hasara na nini wanafeli

jua mambo na ya kazi unayofanyia interview

jua skills zako, haswa cv yako pia

yaani usikose kujua wana branch ngapi, etc labda na wapi hawana mfano kimkoa, atm ngapi wapi na wapi, kwa nini wanahitaji zaidi au kwanini hili au lile

majibu mengine ni ya kimaisha umeona nini mazuri na manaya na yakufanyika kupanda juu na wateja kufurahi. wanatoa huduma zipi hata unaweza kumbuka advert kwa tv au redio ukijiona haujui



ukifika salimia usikae kabla hawajakuambia ukae, usikimbilie kujibu swali kama hujui ukaboronga bora kupose na kutumia sekunde kufikiria. vaa smart suti na tai usisahau au shati na tai. nyoa nywele, shevu onekana smart

usisahau jina la bosi mkuu wa benki hiyo, so ni kusoma nenda kwa website yao uchangamshe ubongo

weye unajiona utakuwa wapi miaka 5 ijayo? (lazima utataka kupanda madaraja au sio...nasema tu), ukipata malalmiko utasuluhishaje? ukipata mteja mbishi etc utafanyaje... kumbuka mteja hakikutukana haumtukani pia.

haya ni mie nisiejua ya benki zaidi ya kuweka pesa na kutoa,

goodluck
 
Back
Top Bottom