Optometrists wanahitajika!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Wadau, kwa uliesomea mambo ya optometry ngazi ya certificate ama diploma please tuwasiliane kuna kazi! Ahsanteni sana!
 
Plz hurry up wakuu kama una njaa na kiu ya kazi!
 
wapendwa hawa ni wataalamu wa mambo gani?
 
ni wachache xana madokta wa macho mana huwa wanaajiriwa na serika kwa iyo ukitaka wa private andaa mkwanja wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…