Optimax business consultants; tunaandaa michanganuo ya biashara

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
618
824
Swali hili limekuwa linawatatiza watu wengi sana,na mara nyingi kukosa chaguzi ya wazo gani alifanyie kazi?

OPTIMAX BUSINESS CONSULTANTS Wanaandaa michanganuo ya biashara(Business Plan),

Michanganuo hiyo inaandaliwa kwa lugha ya kiswahili au kingereza au kiswanglishi,katika mfumo wa maandishi.
Inaweza kuwa na kurasa 10 hadi 50 kulingana na biashara ya mtu,mfano Famasi,duka la jumla,duka la rejareja,duka la nguo za watoto na vifaa vya watoto,Duka la vinywaji vikali na baridi,Pia kwa upande wahuduma mfano huduma za usafi,dispensari,shule,hospitali,taasisi za mikopo,huduma za kilimo na mengineyo.

Michanganuo hiyo inakuwa na taarifa rasmi na ya kuhusu masoko,matarajio ya watumiaji wa huduma au bidhaa zako,wenzako wako wangapi wanafanya biashara kama yako?je watakuathiri au hawatakuathiri katika biashara yako?

Wapi utachkua bidhaa wapi? uhakika wakupata bidhaa au malighafi?faida na wasaidizi katika biashara yako,na taarifa nyingine nyingi ambazo nyingi zinakuwa ni Marketing Inteligence ambayo ni siri ya biashara yako na mtafta taarifa.

Michanganuo(Business Plan) hiyo itakusaidia kuiongoza biashara yako kitaalamu na kiuhakika zaidi,pia hata kama wewe haupo katika biashara itakuwa muongozo kwa msimamaizi wa biashara mfano mwanao,mumeo,mkeo,mjukuu.Inakuwa ni kama road map ya nini unakihitaji biashara yako ifanye au wapi una taka ifike miaka kadhaa ijayo,

OPTIMAX BUSINESS CONSULTANTS watakuwa karibu nawewe baada ya kukufanyia kazi muda wowote utakao wahitaji,
Michaganuo ya biashara hiyo itakusaidia kwenye kupata mkopo au kushawishi kwa wadau,kuongezewa mtaji na wadau baada ya kuielewa kwa surveyed commercial data!

Pia tutatoa ofa,BURE ya kuboresha(update) mara kwa mara Huo mchanganuo wa biashara


Kila biashara ina gharama tofauti za kuandaliwa mchanganuo wa biashara(Business Plan)
zenye Capital kuanzia 500k hadi 999milion.Wale wa chini ya hapo tunatoa ushauri tuu!

Mawasiliano 0719 466 225/0752 05 04 53.KARIBUNI.
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Ni Pigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom