Tunaomba mtu apinge kwa hoja yenye nguvu na sio chuki tu ya A series, kama sijakosea A series hazijaanza kutoka kama ambavyo wewe unajua bali haujui zilianza lini, zimeanza muda mrefu nadhani yaweza kuwa 2014 na sio kila toleo la A series hufika kila nchi."Wala sio kweli kwamba kuanzia a80 ndio misumari."
"A Series vimeo toka zianze kutoka....."
Mkuu baadhi ya sifa za A52
-Ni water proof midrange chache zina hii feature
-Camera yake ina OIS ambayo nayo ni midrange chache utaikuta
-Software updates miaka 3 na Security updates miaka 4, mpaka 2025 haitakuwa outdated
-reasonable perfomance na SD 720G
-90hz Amoled display
Zipo A series ambazo ni average kama A12, A32 etc ila sio A52, huwezi pata Midrange ambayo ni All a rounder kushinda hii.
Low-End | Mid-Range | High-End |
---|
Sio kwamba ni ujuaji na haujalazimishwana mtu ila Specifications za simu ndiyo zimekulazimisha (Kama unaweza hata kutoa copy ya A10, toa nitanunua kwa 1m bahati mbaya hautaweza๐๐).Shida yako wewe na wenzio ni ujuaji. Mimi natumia simu simu hainitumii mimi. Sina muda wa kupoteza na uchambuzi wako wa Specs za Simu. Mimi nimekwambia A Series kwangu mimi naona ni simu za Hovyo lkn wewe unanilazimisha nizikubali, why? Hata Magari sio kila mtu anapenda BMW na sio lazima yaani.
Online tunajifunza na kuelimika pia,au unafikirije!!!Mimi sio Level za Infinix. Kuwa offended na online opinions za mtu usiyemfahamu ni dalili kubwa sana ya stress na tabia ya watu broke
Why umepanick na maelezo marefu namna hiyo? My stand will always be A series ni simu za Hovyo! PERIOD and Im out of this League.Sio kwamba ni ujuaji na haujalazimishwana mtu ila Specifications za simu ndiyo zimekulazimisha (Kama unaweza hata kutoa copy ya A10, toa nitanunua kwa 1m bahati mbaya hautaweza๐๐).
Na ulipokosea ni kugeneralize A series zote kuwa ni za hovyo na kujiona unajua sana, na Tumekubali kuwa baadhi ya A series hazipo katika level nzuri,(Jikute TBS zipige marufuku A series Bongo, ๐๐๐ bahati mbaya hauwezi).
Sijawahi kwenda Makumbusho na sijui hizo simu za makumbusho zipo vipi pia na hata hizo simu za Makumbusho kwa walizonazo bado JF wanaingia tu(Jamaa wa Makumbusho wanapiga hela wewe unateseka ๐๐๐)
Kahela kangu kiduchu ndiyo huwa kanaamua ninunue simu aina gani muhimu iwe aluminium frame na Amoled display tu hayo mengine baki nayo (Hapa ndiyo pale ulisema haihitaji kulazimishana๐๐๐)
Hapana,hatuwezi ignore na unapotosha uma.Mnaotaka Ligi ni nyie,ilikuwa vizuri mngeniignore tuu. A series ni Simu za hovyo kwa experience yangu. PERIOD
A series ni Simu za Hovyo. Hicho ndicho ninachofahamu sasa kama hamtaki its better mkapotezea tu kuliko kunilazimisha niamini mnachotaka nyie. Alafu kuwa Broke ni Mindset pia.Online tunajifunza na kuelimika pia,au unafikirije!!!
Unaweza fokewa online,elekezwa na hata kushangiliwa pia,kikubwa ukidhi vigezo vyovyote hapo.
Watu wasio broke hawabishanii ubora wa simu za milioni kushuka chini,wewe uliwahi kuona wapi???
Nampotosha nani? Tatizo hampendi kusikia tofauti na mnavyoamini. Tatizo lingine humu kwamba kitu mkikisifia nyie wengine hawapaswi kukosoaHapana,hatuwezi ignore na unapotosha uma.
Hili ni jukwaa linaloheshimika mkuu.
Hakuna sehemu milango ya kukosoa imefungwa ila unapaswa kukosoa kwa maelezo ya kiufundi ili tusiojua utufumbue, na sio kukosoa kwa maneno "ni simu za hovyo"Nampotosha nani? Tatizo hampendi kusikia tofauti na mnavyoamini. Tatizo lingine humu kwamba kitu mkikisifia nyie wengine hawapaswi kukosoa
Kweli inabidi alete maelezo ya kiufundi kuwa hizi simu za A series zinamapungufu yapi na yapi sio anasema za hovyo tu bila kutolea maelezoHakuna sehemu milango ya kukosoa imefungwa ila unapaswa kukosoa kwa maelezo ya kiufundi ili tusiojua utufumbue, na sio kukosoa kwa maneno "ni simu za hovyo"
Wewe jamaa kumbe unaipenda ligi kimya kimya, kaa kimya usijibu lolote tena ndiyo tutajua umejitoa kwenye ligi, ila ukijibu tutakujibu tu.
Sisi tunaamini kwenye Specifications tu na sio bei.
Kila mmoja wetu abaki na mtizamo wake. Kila mtu yupo huru kuwaza anavyowaza alimradi havunji sheria.Hakuna sehemu milango ya kukosoa imefungwa ila unapaswa kukosoa kwa maelezo ya kiufundi ili tusiojua utufumbue, na sio kukosoa kwa maneno "ni simu za hovyo"
Wewe jamaa kumbe unaipenda ligi kimya kimya, kaa kimya usijibu lolote tena ndiyo tutajua umejitoa kwenye ligi, ila ukijibu tutakujibu tu.
Sisi tunaamini kwenye Specifications tu na sio bei.