Kibaya chako,kizuri cha kwangu,siku nyingine ushindanishe na tecno au itel,tunaotumia samsung tutakuburuza mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu [emoji847]Oppo a3s single line from india unauza bei gani ?Mkuu huwa nafanya biashara ya kuvunja lakin kwa mtu nayefahamiana nae sana maana hzi simu za mkono zina mambo mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye swala la processor ni simu ambayo ipo oudated doh SD 435 Kama si 425. tafuta hata redmi 7 mkuu SD 632.Mkuu [emoji847]Oppo a3s single line from india unauza bei gani ?
Sana sana selfieMwanamke ndio anapima ubora wa simu kwa Camera nzuri, ila sijui kwanini!!
Sh ngapi hii na umeinunua wapi?Simu zenye kamera nzuri kuliko ata samsung na iphone.View attachment 1058834View attachment 1058836
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yng 450 [emoji848][emoji848][emoji848]Kwenye swala la processor ni simu ambayo ipo oudated doh SD 435 Kama si 425. tafuta hata redmi 7 mkuu SD 632.
F9 900,000Opo f7 na f9 bei zake ni sh ngapi? Ni simu nzuri sana
Sio simu mbaya boss iko poa tena kwa maelezo ya chief hapo juu ni ipo katika kundi ya simu zinazotunza moto boss ila kama mtu wa gaming sina hakika kama una enjoy sana kwa heavy games kama PUBG, ASPHALT 9 LEGENG n.kMkuu yng 450 [emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1148970