Oppo Oppo Oppo Oppo

Tecno itel infinix ni kampuni moja ila sales brand ndo wanatofautisha na simu zao nyingine zinafanana kila kitu mfano TECNO SPARK 2 na INFINIX HOT 6 simu ni moja technical speaking lakin majina ndo tofaut.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno itel infinix ni kampuni moja ila sales brand ndo wanatofautisha na simu zao nyingine zinafanana kila kitu mfano TECNO SPARK 2 na INFINIX HOT 6 simu ni moja technical speaking lakin majina ndo tofaut.
Sent using Jamii Forums mobile app
Transsion Holdings (Chinese: 传音控股) is a manufacturer of mobile phones based in Shenzhen, China. It was the largest smartphone manufacturer by sales in Africa in 2017, and also sells mobile phones in South Asia. Its brands include phone brands Tecno, Itel, Infinix, and Spice, after-sales service brand Carlcare, and accessories brand Oraimo. It manufactures phones in China, Ethiopia and India.
kwa hisani ya wikipedia
 
Hizo simu wamezijaza megapixel ili kuwakamata maboya ambao hawajui uhusiano wa megapixel na ubora wa picha
Really? Targeted market so ni kwa wajinga,eti eh

Sent using Brain
 
Mkuu Sio mwanamke tu kamera nzur inasaidia hata pale unapofanya biashara na mtu na kumwonyesha bidhaa, au unataka kuscan document utume mambo ya ofisini lazma uwe na simu yenye kamera nzuri. Simu zenye kamera nzuri mtu huitaj kwenya stationary kuscan document unafanya kila ktu kwenye simu yako. Tatizo linakuja kwamba weng wetu hatujui jinsi ya kutumia simu zetu vizuri
Mwanamke ndio anapima ubora wa simu kwa Camera nzuri, ila sijui kwanini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unachokiongea ni kwel kwa baadh ya simu na ni makampuni karibia yote. Lakin kuna kampuni ambazo zinafanya vizur kwenye kamera ambazo ni oppo na ndo sifa yake kwenye sales. Mfano mzur mimi nina simua ya samsung note 9. Lakin kuna siku nilishangaa oppo f7 inatoa selfie nzuri ambazo zingine zimezid simu ya samung ya bei ghali.
Hizo simu wamezijaza megapixel ili kuwakamata maboya ambao hawajui uhusiano wa megapixel na ubora wa picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uko sahihi kabisa kuna watu wamekariri kwamba samsung na iphones ndo simu zenye ubora pekee kwa sababu ya mibei
 
Kuna ukwel na muda mwingine sio ukwel. Megapixel ni ukubwa wapicha na inamahusiano kidogo na picha quality. Ila picha quality inategemea na aina ya lens zinazotumika kutengeneza camera. Sasa watengenezaj wa simu wanaopt kwa lens ambazo za bei chin ili kupunguza production cost.
Really? Targeted market so ni kwa wajinga,eti eh

Sent using Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwenye soko kuna kampun ambazo ni zinafanya vizur sana kwenye masoko makubwa kama vile china na india ambao wamelenga watu wenye kununua affordable smartphone na iwe na quality. Na hayo makamuni kama OPPO XIAOMI(mi) yamefanikiwa kwa kias kikubwa sana ndo imechangia sana Iphone sales diminished kwa sababu mtu ananunua oppo kwa bei rahis na inapicha nzur kama iphone au kuzid na pia durable.
Uko sahihi kabisa kuna watu wamekariri kwamba samsung na iphones ndo simu zenye ubora pekee kwa sababu ya mibei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…