Operesheni Zoa Gamba Inaendelea

Je Wameomba lift Kwenye gari la M4C?, Wabatize, Wabatize na Nguo zao za Kijani..
 
Hii picha ya siku nyingi, hao waliachwa na FUSO lililowapeleka kwenye mkutano wa ccm na halikurudi kuwachukua na nauli hawakupewa.
 
]Hii picha ya siku nyingi,[/COLOR] hao waliachwa na FUSO lililowapeleka kwenye mkutano wa ccm na halikurudi kuwachukua na nauli hawakupewa.
inaswihi kwa wakati huu
 
Ubatizo hufanyika pale mchungaji anapofika kwenye sinagog hivvyo hao huo ni ubatizo wa kuwa cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…