operesheni kimbunga

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Naona Mutu anaandika akisema eti Iyi mimi ni mhamiagi haramu,batokea Mutaho na Kanyarucinya itaaca Tanzania inafurahi, Haiwezi kwa sababu inajuwe Vitendo tuliyo wa fanyiya mwaka Jana na Juzi. Tunataka Baba V isiongeze leta visingizio ili iingiye kwenye murumbano. Bakitucokoza tena mimi si mhamiaji haramu bali ni bazawa ba tanzania, nadhani Erickb52 Itabatuaciya sasa, Tubafanyiye kama vile Tunabafanyiyaka kila siku. Musiwe na shaka Eti batajingamba, Hawa wezi.
Munajuwa Nyinyi wote Vile Tunapigaka kazi Wana sebene, Juuzi Tuliwapigia wakaanza kimbiya alafu bakapata mayele bakaanza tupa mikono na viyuno mango garden bakiwa bamelewa. Tate yabo bolino nalingi aba saidiye. Byote bakabitiya Kukicwa ya Chimbuvu Tate yabo akakuya basaidiya. Tukaona si vema kuendeleya Piga muziki mango garden karibu na Population, Tukarudi Nyuma Mpaka sehemu za chitchat restaurant, Ndani ya jukwaa ya Volcan band, Tulitoka sisi wenyewe bila Mutu kutufukuza. eti njo preuve ya Kwamba Balitukimbiza kuwa ni bahamiaji haramuni kakucekesha, kanaharibika Njo mana tulikaaca Baba V. mimi dimutansania halisi balizaliwa habahaba mujini posta daresalaam.
cc; Baba V , Erickb52 C6 Lady doctor mimi49 Madame B mimisa Arushaone Bishanga Mamndenyi na bengine bote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…