Operesheni kamata mwizi arumeru mashariki.

Operesheni kamata mwizi arumeru mashariki.

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Mbunge wa arumeru mashariki Joshua sawel nassari anaendesha operesheni kamata mwizi kwa watendaji wa serekali katika ngazi ya halmashauri hadi ngazi ya kijiji.Operesheni hiyo imekuwa ikiwashirikisha wananchi hasa vijana .Jana alipost katika facebook wall yake;
"Kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Nkoarisambu na hususani rika la kilovio, leo tumeshika mbao na papi zaidi ya 800 (mia nane) zilizoibiwa kwa kukata miti kwenye shamba la miti la halmashauri ya meru kwq kisingizio cha kutengeneza kabati la dawa zahanati mpya ya nkoarisambu.viongozi wa kijiji, kata na idara ya misitu halmashauri ya meru wanahusika moja kwa moja. Zilihitajika mbao piece 40 ama 50 tu. Badala yake wakakata miti zaidi ya 90. Lazima wawajibike. Operesheni kamata mwizi inaendelea jimboni."
leo amepost;
"Operesheni kamata mwizi arumeru mashariki inaendelea. Mpaka sasa tunawahoji viongozi kadhaa wa vijiji, kata na watumishi wa halmashauri".
big up joshua juhudi zako zitaipeleka mbali arumeru. josh1.jpg josh2.jpg josh3.jpg josh4.jpg josh5.jpg
 
Back
Top Bottom