Operation ya Godbless Lema MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) imeishia wapi?


Kweli kabisa mkuu
 
Acha kujihusisha na mabo yasiyo kuhusu unataka kujua mipango ya watu yasiyokuhusu ikusaidie nini? Huo ndio wivu usio na jinsia waliochanga ndio wanajua kama imekuja au bado, jadili na uendelee kusubiri hizo za kwenu mlizopanga kununua ya riziwani ya first lady na ya mwenyekiti wenu. Kusikia helkopta imejadiliwa dodoma kiuno kimekutingishika ukamkumbuka Lema acha kuwaza waume za watu. Subiri uulize hizo hizo zenu naona ni muendelezo wa ahadi ya kuigeuza kigoma dubai.
 

Pole sana baado upo tena sasa hivi tumeboresha sana Baada yakula fungu lote la Fuba ya Magamba unataka kugeukia Chadema pole maana huku hakuna usani
 

Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana
 
M4C ulikuwa ni mradi wa Mbowe kumlinda Lema asife njaa pale aliposimamishwa ubunge. Baada ya Lema kurudishiwa ubunge na mahakama nayo ikasitishwa.
 

Magamba mnahangaika sana! Mnaugonjwa wa kikwapa! Mzigo ubebwe na kichwa, jasho litoke kwapani!!?
 
M4C ulikuwa ni mradi wa Mbowe kumlinda Lema asife njaa pale aliposimamishwa ubunge. Baada ya Lema kurudishiwa ubunge na mahakama nayo ikasitishwa.

Kwakua umeshazoea vibahasha bahasha unafikiri kila mtu yupo hivyo. Karibu delete ccm Tanzania nzima
 
Kwakua umeshazoea vibahasha bahasha unafikiri kila mtu yupo hivyo. Karibu delete ccm Tanzania nzima

Kamanda haka ka msalani kana maisha magumu lakini bado kanaikumbatia ccmmatokeo yake kanauza utumbo shivas hapo arusha
 
bro Ritz wacha umbea wa kike hayo unayosema ni ya wana. .wake wakichagua mchele wa hitma, waambie TISS wa kupe concrete data kabla hujafungua DOMO lako. STUPID
 
M4C ulikuwa ni mradi wa Mbowe kumlinda Lema asife njaa pale aliposimamishwa ubunge. Baada ya Lema kurudishiwa ubunge na mahakama nayo ikasitishwa.

Mtajibeba mwaka huu,M4C inaendana na DELETE CCM hivyo miccm lazima ikae!
 
Habari ni MOJA TU sasa kuhusu TUNDU LISSU. USITUOE NJE YA TRUCK. MWIISHA ENZI MKUBWA WEWE!!@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…