Magamba mnaogopa sana m4c...kwa taarifa yako m4c haitaisha mpaka kieleweke
unaonaje ungepeleka hilo swali kwenye Facebook ukaacha JF tujadili mambo makubwa zaidi? ni ombi tu
Dogo hili?unaonaje ungepeleka hilo swali kwenye Facebook ukaacha JF tujadili mambo makubwa zaidi? ni ombi tu
Wakuu.
Ule mradi wa Chadema uliokuwa unasimamiwa na mbunge wa Arusha Godbless Lema maarufu kama MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) ambao ulipelekea Lema kununua Helicopter kutoka Uingereza (sina uhakika kama hiyo Chopa imeshafika)Umeishia wapi? Ni kipindi kirefu sasa hatujasikia lolote kutoka kwenye huu mradi. Vipi kuhusu mapato na matumizi yake? Au ulikuwa ni mpango wa kumpatia Lema kipato kipindi kile amesimamishwa ubunge ili asije akairudia ile kazi yake ya zamani?
Ile chopa Lema aliokuwa anaikagua Uingereza imeshafika?
Huu mradi uliwatajirisha sana!
Lema alikwenda Uingereza baada ya kukusanya michango ya M4C alivyofika Uingereza akamtafuta kamanda wa kipindi kile Chris Lukosi ampeleke wanapouza Chopa chakavu.
Walipofika madukani Lema akapiga picha huku ameishika Chopa kama vile kainunua akaiweka kwenye mitandao na kuwalaghani wafuasi wake kuwa kanunua Chopa baada ya michango ya M4C.
Leo mwaka wa tatu hakuna Chopa wala parachuti.
Mkuu laki si pesa usisahau na ile harambee ya M4C iliyofanyika Movenpick
Huu mradi uliwatajirisha sana!
unaonaje ungepeleka hilo swali kwenye Facebook ukaacha JF tujadili mambo makubwa zaidi? ni ombi tu
Lema alikwenda Uingereza baada ya kukusanya michango ya M4C alivyofika Uingereza akamtafuta kamanda wa kipindi kile Chris Lukosi ampeleke wanapouza Chopa chakavu.
Walipofika madukani Lema akapiga picha huku ameishika Chopa kama vile kainunua akaiweka kwenye mitandao na kuwalaghani wafuasi wake kuwa kanunua Chopa baada ya michango ya M4C.
Leo mwaka wa tatu hakuna Chopa wala parachuti.
Iliishia kwa mama yako, yule wa kona bar.Wakuu.
Ule mradi wa Chadema uliokuwa unasimamiwa na mbunge wa Arusha Godbless Lema maarufu kama MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) ambao ulipelekea Lema kununua Helicopter kutoka Uingereza (sina uhakika kama hiyo Chopa imeshafika)Umeishia wapi? Ni kipindi kirefu sasa hatujasikia lolote kutoka kwenye huu mradi. Vipi kuhusu mapato na matumizi yake? Au ulikuwa ni mpango wa kumpatia Lema kipato kipindi kile amesimamishwa ubunge ili asije akairudia ile kazi yake ya zamani?
Iliishia kwa mama yako, yule wa kona bar.