Duhh mi huwa natamani sana ingekuwepo United State of Africa huenda digrii yangu ningesomea pale Cape town University mkee ningeenda jimbo la kagame nikachukua mtoto mzuri nikaenda kuishi jimbo la Ghana,huenda hata hizi Siasa za unafiki zisingekuwepo,huenda tungekuwa na upendo,uenda siasa za maji,barabara,vyoo,shule,madaraja,madawati zisingekuwepo,huenda tungekuwa na katiba madhubuti ambayo haichezewi,huenda hizi siasa za mtu mmoja zisingekuwepo,huenda hizi siasa za CCM,UKAWA zingekuwepo,ila kama tulivyo wenyewe ulafi wa madaraka na muono hafifu ndio umetufikisha hapa,kwa unafiki huu historia itatuhukumu