Mwl Philemon
Member
- Nov 29, 2018
- 64
- 70
Hivi kuna haja ya kuwa na hiyo kitu inaitwa opera news kama una jamii forum? Maana habari zote za huko zinatoka jamii forum. View attachment 1123483
Anaitwa Veronica Avluv, mgoogle utapata data zake mkuuHuyu dada anaitwa nan maana pic zake huwa naziona sehemu nyingi tu
Asante sana pia umenikumbusha manzi fran anaitwa sara luvvAnaitwa Veronica Avluv, mgoogle utapata data zake mkuu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089] ......hatari sana kama google haijakoseaAnaitwa Veronica Avluv, mgoogle utapata data zake mkuu
hii picha ilitumiwaga na matapeli wamoja hivi eti walitaka kunitapeli dolla 12k. Kumbe mwenzao nilishwashtukia nikawa nawachora tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali sana na hiyo picha.
Huyo demu anaitwa patience munanka,ni raia wa botswana au angola, nakumbuka alikuwa demu wa kwanza kuchart naye facebook baada ya kujiunga na mtandao huo[emoji16][emoji16][emoji16]
Siku zinaenda kasi sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani unakuta post za jamaa yangu mkuu sana, Zero IQ, zinawekwa kuwa news.. Hatari sana.
Usingeweka hiyo picha nzuri, ningekupa jibu hilo mpaka tungegombana, kapicha kazuri sana
Huyu dada anaitwa nan maana pic zake huwa naziona sehemu nyingi tu
hii picha ilitumiwaga na matapeli wamoja hivi eti walitaka kunitapeli dolla 12k. Kumbe mwenzao nilishwashtukia nikawa nawachora tu.
Huyo tapeli yupo FB?Picha yake niliipata kwa tapeli mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Grace Saitoti baadaye akaja Na jina la Amina