Opera 14 beta for android

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,862
Opera Software ASA wametoa hiyo browser mpya kwa watumiaji wa simu za android. Iko katika beta version yaani iko katika majaribio. Sijaitumia kwa kuwa sina simu ya android lakini kwa maelezo ni kwamba inafaana sana na utendaji wa android os. Kwa maelezo zaidi unaweza kusoma hapa. Unaweza kupakua toa google play au kutoka www.opera.com. Ijaribu mtatujulisha ilivyo. Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ