OPEN UNIVERSITY

puppa

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
379
Reaction score
176
Habari za mchana??nilikuwa nauliza hii foundation course ya OPEN UNIVERSITY bado ipo?
Kwa sababu nimepata tetesi kuwa hivi sasa hiyo course imeondolewa.
Asanteni nawatakia mchana mwema
 
Habari za mchana??nilikuwa nauliza hii foundation course ya OPEN UNIVERSITY bado ipo?
Kwa sababu nimepata tetesi kuwa hivi sasa hiyo course imeondolewa.
Asanteni nawatakia mchana mwema
Usiishi kwa kusikiasikia nenda kwa wahusika wakueleze vizuri sio watu wa mitaani.
 
Ipo ila imekuwa modified sasa inaitwa PRL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…