Open university wametoa majina ila hawajaainisha wale ambao wana multiple selections! Halafu wametoa majina siku ya mwisho ya ku-confirm!
Ina maana hakuna multiple selections kwa waliochaguliwa out au? Au chuo chenyewe hakina pressure maana kinajua watakaotoswa huko kwingine watajileta wenyewe!