Thanks much brotherExperience ni kwamba utasoma huku unaendelea na shughuli zako za kila siku, mifumo yao ya darasa inapatikana kweny mtandao unaitwa Moodle kila kitu kuanzia materials, discussions, assignments na interactions na mwalimu utakutana nazo humo, ni mfumo ambao unaweza ukadownload na kuendelea na maswala mengine hata kama haupo online, pia ada zao ni rahisi ukilinganisha na vyuo vya kawaida! Ukimaliza vyeti utakachopata kwa kozi yako ina'standard ile ile kama ya vyuo vingine!
Na wana'magroup yao whatsap na telegram kwa ufafanuzi na events zingine zinazoendelea ya vyuo!
Kwenye mitihani ya End of semester unaenda chuoni au kwenye vituo walivyovisajil kwa ajili ya kufanya mitihani hiyo physically!
Udahili unafanyika kama taratibu ya vyuo vingine, kwa maelezo cheki website yao watafute!
All the best...
Hawasumbui kabisa.Habari za leo vipi kuhusiana na research kwa postgraduate degree (masters) hawasubui kama vyuo vingine vyenye majina makubwa?
PoaNenda ofisin kwao utapata majibu mubashara zaid
Dah umenimotivate sana ngja nianze mpango wa ku applyExperience ni kwamba utasoma huku unaendelea na shughuli zako za kila siku, mifumo yao ya darasa inapatikana kweny mtandao unaitwa Moodle kila kitu kuanzia materials, discussions, assignments na interactions na mwalimu utakutana nazo humo, ni mfumo ambao unaweza ukadownload na kuendelea na maswala mengine hata kama haupo online, pia ada zao ni rahisi ukilinganisha na vyuo vya kawaida! Ukimaliza vyeti utakachopata kwa kozi yako ina'standard ile ile kama ya vyuo vingine!
Na wana'magroup yao whatsap na telegram kwa ufafanuzi na events zingine zinazoendelea ya vyuo!
Kwenye mitihani ya End of semester unaenda chuoni au kwenye vituo walivyovisajil kwa ajili ya kufanya mitihani hiyo physically!
Udahili unafanyika kama taratibu ya vyuo vingine, kwa maelezo cheki website yao watafute!
All the best...
Kila la heri, hatua moja uanzisha nyingine!Dah umenimotivate sana ngja nianze mpango wa ku apply
Kwa Bachelor of Laws ni kiasi gani kwani? maana wao wanafundisha kwa course unit ambapo mfano kwa Bachelor of Laws kuna course uits 12 na kila moja ni elfu 60 ambapo unafanya 60,000 *12 unapata kama 720,000/= ambapo kuna ukakasi ni kuwa kila unapoenda field wanasema ni shilingi 100,000/= hapa ndo sijapa ufafanuzi japo naendelea kufanya tafiti.ila ada zao ni juu sana
hiyo ni hesabu yako Open univeristy ina gharama kubwa sana kuliko unavyo fikiri zipo course ukauta zina unit 3 na kila unit ni 90000 cha msingi ujipange tu otherwise utachukua ata miaka 5 kumalizaKwa Bachelor of Laws ni kiasi gani kwani? maana wao wanafundisha kwa course unit ambapo mfano kwa Bachelor of Laws kuna course uits 12 na kila moja ni elfu 60 ambapo unafanya 60,000 *12 unapata kama 720,000/= ambapo kuna ukakasi ni kuwa kila unapoenda field wanasema ni shilingi 100,000/= hapa ndo sijapa ufafanuzi japo naendelea kufanya tafiti.
Angalizo.
Wanafunzi mjue kuwa mnapoomba vyuo maana yake ni tayari umeingia mkataba na chuo husikia hivyo ni muhimu kusoma mambo mbali mbali yahusiyo chuo kabla ya kuomba udahili mfano kusoma by-laws ,mfumo wa malipo ya ada n.k