Sidhan kama unakijua vizuri chuo hiki maana naona unaulizia hostel.Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
Aisee... Sasa wewe unajazaje vitu ambavyo huvielewi?Campus cjajuwa wadau ila kozi ni bachelor of science with education! Na wanaandika leaning distance apo cjawaelewa!!
Unaulizia hostel open university acha utan
Ulikuwa hutaki kuwa mwalimu hatima yake utakuwa mwalimu,inawezekana tangu mwanzo ungeomba BScEd(UDSM) ungepata.Mkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye
Tafuta chuo kingine iko kinawafaa watu walioajiriwa na no kuingia class unajisomea mwenywe kwenu thn unaenda siku za mitihani na face to face tu na mwalimu wa kukufundisha unajitafutia mwenyeweMkuuuu nimelazimika kukijaza baada ya kutemwa afya awamu 2 ckwamba nilikuwa nakitaka we nishauli nn nifanye
But karibu m nasoma apoTafuta chuo kingine iko kinawafaa watu walioajiriwa na no kuingia class unajisomea mwenywe kwenu thn unaenda siku za mitihani na face to face tu na mwalimu wa kukufundisha unajitafutia mwenyewe
kozi gani mamyBut karibu m nasoma apo
kama hutaki kusoma hapo tcu wametoa muda wa transfer unaweza kuingia kwenye web yao ukasoma tangazo lao la kuomba uhamisho kwenda chuo kingineWadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
Naomba nisaidie namba yako ya simu tuwasiliane unipe mwongozo mzuri kwa kuwa unakijua vizurKarbu Mimi nasoma opn
Open University inatoa elimu masafa na ina changa moto zake kwani wanakupa miongozo ya masomo na wewe unajitayarisha kwa kutumia miongozo hiyo kwa kawaida bila kuingia darasani-unajisomea nje ya darasa (nyumbani etc). Sasa swali moja wewe uko wapi? Kama uko Dar (huenda pia miji mikubwa mingine) unaweza ukajipanga na ukamaliza ndani ya miaka 3-4. Nina mwanangu alifanya hivyo akiwa Dar (alichukua masomo ya Art) lakini ni imani yangu hata science unaweza. Ukiwa kwenye miji midogo changamoto zinaweza kuwa kubwa. Hivyo una option ya kuhama chuo au hiyo niliyoweka hapo juu. Tembelea kituo chako halafu uamue baada ya kupata maelezo.Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!