Kenneth Mwazemb Member Joined Jan 3, 2010 Posts 16 Reaction score 3 Oct 27, 2012 #1 Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu. Nisaidieni niweze kufungua web hiyo. Attachments hacked.jpg 37.4 KB · Views: 631
Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu. Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.
Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,557 Reaction score 16,942 Oct 27, 2012 #2 Hivi wana department ya IT? Ina bajeti? Inafanya kazi gani?
Mb-one JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 885 Reaction score 1,298 Oct 27, 2012 #3 Daaah kweli tz yetu kila kitu ovyo kabsa,
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Oct 27, 2012 #4 ni aibu kubwa sana... ndio maana sishangao kina MULUGO wana degree hiko chuo
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,943 Reaction score 5,378 Oct 27, 2012 #5 Lazima Watakuwa UAMSHO Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Oct 27, 2012 #6 hata ya tcu ilishapitiwa na hao hackers!!! so sishangai hii ndo tz bwana...kibish life linasonga....
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 28, 2012 #7 mbona kwa hapa bongo ni jambo la kawaida tu, website za wizara ya afya,TCU,OUT na kuna wizara nyingine kama 2 hivi zimenitoka, kawaida sana hilo jambo hata wa ki hack watapata nini huko???
mbona kwa hapa bongo ni jambo la kawaida tu, website za wizara ya afya,TCU,OUT na kuna wizara nyingine kama 2 hivi zimenitoka, kawaida sana hilo jambo hata wa ki hack watapata nini huko???
S salum nambwanga New Member Joined Aug 11, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Oct 28, 2012 #8 mimi nilikutana nalo jana alasiri,lakin baadae usiku nilifanikiwa kufungua kweny simu!
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 Oct 15, 2016 #9 kuna ambao waliwemewa pilau
Mwendo Kasii JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 203 Reaction score 213 Oct 15, 2016 #10 adakiss23 said: Lazima Watakuwa UAMSHO Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Acha fikra za kiboya wewe. Nani kakwambia ni lazima wawe uamsho? Acha chuki. Umekua
adakiss23 said: Lazima Watakuwa UAMSHO Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Acha fikra za kiboya wewe. Nani kakwambia ni lazima wawe uamsho? Acha chuki. Umekua