....hata mlimani unaweza kusoma miaka 10 ukiwa mzembe baada ya hapo unapigwa kibuti. Ninamfahamu jamaa alikuwa COET alirudia rudia miaka kwa sababu mbalimbali mpaka anamaliza alikuwa amegonga miaka kumi ya shule pale mlimani. Sawa na open nafahamu pale spidi yako ndo inakufanya umalize haraka au uchelewe maana ni distance learning university. Wapo watu nawafahamu walisoma sheria kwa miaka 3, dean wao akawakomalia wasubiri mpaka itimie miaka 4 kwakuwa ndo ilikuwa minimum no of years kwa law. ....
Sio 8, minimum ni 3 na maximum ni 8! Yaani ukishindwa kugraduate kwa miaka 3 basi unaruhusiwa kuendelea kusoma hadi miaka 8! Ukishindwa hapo huna chako.
Sio 8, minimum ni 3 na maximum ni 8! Yaani ukishindwa kugraduate kwa miaka 3 basi unaruhusiwa kuendelea kusoma hadi miaka 8! Ukishindwa hapo huna chako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.