Open sourcing na android.

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
8,143
Reaction score
17,639
Wakuu....za sikukuu?
Ninafahamu kuhusu open source software na licenses. Ila swali langu leo kwa developers ni kuwa siwezi kutengeneza apps za android bila kuadopt mfumo wa open source?

Na kama inawezakana, ni mifumo au licenses gani mbadala zitakazo fanya kazi, na matatizo gani yanaweza kujitokeza?

Shukrani.
 
open source softwares za bure lakini kwenye android naziona pia apps za kulipia kwahiyo nadhani hata licensed inaruhusiwa. Just do a google search
 
open source softwares za bure lakini kwenye android naziona pia apps za kulipia kwahiyo nadhani hata licensed inaruhusiwa. Just do a google search

Ishu sio cost ya apps. Ili software yako iwe open sourced maana yake ni lazima urelease source code yake kwenye repositories kama github. Sasa siwezi kutengeneza app kwenye android (ambayo ni open source pia) bila kufuata mfumo huu?
 
Bado sijuwi mubadala wa github na bado sioni sababu ya wewe kutotumia github
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…