Open School

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,071
Reaction score
1,428
Habari zenu wana jamvi natumaini ya kuwa mko wazima kabisa.

Nahitaji kujua mahitaji muhimu katika kuanzisha na kuendesha Open school
Na ni programme zipi hasa zinaruhusiwa kuendesha katika vituo hivyo.

Naomba kama kuna mtu yuko na Experience yoyote kuhusu hili naomba tuwasiliane.

Ahsanteni sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…