Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!Hiyo ardhi ndo itakayolipia kapelo, khanga, vitenge, t-shirts, pilau, maandazi, handset za bei poa na burudani ya kwaya/bendi 2010.
Kaazi kweli kweli.....
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!
Cha msingi hapa ni kuangalia kama katiba inamruhusu Rais (au executive arm of government) kusign deals of such magnitude bila kujadiliwa na bunge.
Kama rais au waziri ana mamlaka ya kuingia mikataba kama hii, basi kwa mtazamo wangu katiba ina dosari kubwa sana.
Napendekeza katiba ibadilishwe ili bunge liweze kuchambua mikataba ya namna hii kabla haijasainiwa ili wadau wengi iwezekanavyo watoe mchango.
Baada ya kupitia posts za wachangiaji wengine, it seems we don't need any foreign investment in agriculture. am I right? If that is the case, TIC should be advised to stop attracting investors on that sectors because they are not needed.
Pili, hawa jamaa wametuma maombi ya ardhi ya ukubwa wa hecta 500,000. This is what they want. Hii haimaanishi kuwa watapewa hecta 500,000. Tunavyojadili hapa ni kama vile watapewa hecta 500,000. Tena, Rais alinukuliwa akisema kuwa uwezekano uliopo ni wao kukodishiwa hecta 10,000 per investor, kama sheria zinavyosema. So, kama wakipata hecta 100,000 Tanzania, then watatafuta hizo hecta 400,000 sehemu nyingine. This is my understanding.
To the author of the letter, how can you separate TIC and The President on issues like this one? Wewe unavyofikiri walianzia TIC au kwa Mr. President? Your argument should have been strong if you compared the costs and benefits of the deal and base your argument on that. You need numbers or at least robust qualitative analysis. Argument based on speculation can easily be challenged. That being said, I suggest you withdraw your letter and take some time to identify and quantify (if possible) all benefits and costs associated with the deal.
"Carrot and stick" inakujaje hapa?
Halafu kama tunashuku kuwa tunaboronga lugha za watu ni bora kuandika kwa lugha ya nyumbani. Hata kama maswala unayo, ukikosea lugha wakati hukulazimishwa kuandika kiingereza unajionyesha hujui kupresent issues, unawapa watu mwanya wa kuhoji kama kweli unajua hata issues zenyewe.
Au ndiyo barua haionekani ya kisomi mpaka iandikwe kiingereza?
Kama tulikosa uerevu hata wa kushuku hivyo ndiyo tunaambiwa hapa na "friendly faces", kabla hatujaboronga kwenye hadhira nyeti.
Mkuu Bruray, asante kwa mchango wako. Kukosea ndo kujifunza.
Having said that, Issue of carrot and stick ( I just used an idiom to summarise the theme of my paper) and I did not mean a literal meaning of 'carrot' and 'stick'
Wakatabahu,
Shadow.
Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano (2000) isome hapa neno ardhi limetajwa mara mbili tu (ukurasa wa 22) na halijatajwa kutoa ruhusa hiyo.
Ila katika kumbukumbu zangu nakumbuka Tanzania serikali inafanya "eminent domain" kuhusu ardhi popte itakapotaka, wananchi na wengine wote wamekodishwa tu na ardhi ni mali ya serikali.
Swali linabaki, rais ana mamlaka haya ya kugawa ardhi bila kushauriana na bunge au taasisi nyingine yoyote?
Kukosea ndiyo kujifunza, ushajua umekosea wapi lakini? Kama umejua unasahihisha? Kama hujajua utajifunza vipi?
Concept ya maneno ya "Carrot and stick" na diplomasia yake naielewa tangu etymology yake kwenye "The Economist" na ilivyokuja kuwa popularized na the Harry Truman administration, so I do understand the whole idea behind "carrot and stick" diplomacy. Kuelewa huku ndiko kunakonifanya niulize, labda kuna dimension mpya ya hii issue mimi siifahamu na wewe mkuu unaweza kutuwekea sawa. Najua umetumia "carrot and stick" kama msemo na humaanishi literally, lakini misemo inaposemwa hutakiwa kuwa na maana, na mimi sioni maana, ndiyo maana nikauliza maana.
Siyo kwamba sielewi maana ya msemo, au nafikiri unamaanisha carrot and stick literally, hasha, nataka kujua concept ya carrot and stick inaingiaje hapa?
Wamarekani walipo mpa pressure Saddam Hussein kwamba akikubali weapons inspection atapata msaada wa UN na akikataa atapata vikwazo, hiyo ilikuwa carrot and stick diplomacy, akikubali atapata msaada (carrot) akikataa atapata vikwazo (stick) kama punda ambaye akienda vizuri na kubeba mzigo atapata carrot (mbele, mdomoni ili aende mbele) na asipoenda atapata stick (fimbo)
Nisichoelewa ni jinsi hii concept ya carrot and stick inavyo apply kati ya Kikwete na Wa Saudi.
Asante Mkuu BluRay,
Ndo maana kwenye hilo suala nimetumia alama ya kuuliza (?). I am open to criticism na kuonyeshwa wapi nilipokosea.
Shadow.
Uliposema "carrot and stick" ulikuwa na maana gani?
Bluray,
Mtizamo wangu ni kwamba Rais anapata mamlaka ya kusimamia Ardhi yote ya Tanzania kama 'trustee'. Amepewa hayo mamlaka kupitia Bunge. Ukiangalia enumerated power za Bunge letu kama zilivyoaninishwa na Ibara ya 63 hasa Ibara ndogo ya 3 (d) ni Kutunga sheria.
Bunge limetunga sheria na kumpa hayo madaraka makubwa Rais wa JMT kusimamia masuala yote ya ardhi( Sheria za ARDHI Namba 4 na 5 za 1999). Suala ni kuwa Rais wetu ana nguvu sana za kimadaraka na kama akilewa na hyo madaraka inaweza kuwa balaa kwa mstakabari wa Taifa.
Shadow.