Open Letter to His Exclence JMK-Is it a Carrot and Stick Land Deal?

Hiyo ardhi ndo itakayolipia kapelo, khanga, vitenge, t-shirts, pilau, maandazi, handset za bei poa na burudani ya kwaya/bendi 2010.

Kaazi kweli kweli.....
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!
 
Awamu ya pili ya Mzee Ruksa tulishuhudia sakata la Loliondo kutaka kuuziwa Mwanamfalme wa hukohuko Uarabuni.
Awamu ya tatu ya Mkapa tulishuhudia mashirika ya umma na rasilimali za nchi kama madini vikiuzwa kwa wageni kwa bei ya kutupwa.
Awamu hii ya nne ya JK inaanza kuonyesha dalili za kuuza ardhi kwa wageni (Waarabu?). Kama Bush angeendelea kuwa Rais wa Marekani bila shaka siku moja JK angemkatia kipande cha ardhi yetu.
Hivi kama nchi imeishiwa eneo la kulima inaomba nchi nyingine imgawiwe ardhi ili ipate chakula cha wananchi wake? Je nchi iliyogawa ikiishiwa nayo itakuwaje? Is our President, serious? Naelekea kuamini ule usemi kuwa tuna Rais msanii. Tunamkosea heshima kweli kwa kumwita msanii kama mambo yenyewe ni hayo?
 
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!

Wenzetu wana mafuta ndiyo sababu wametajirika. Sasa sisi kama tunajua ardhi ni deal miaka ya mbele inabidi tuitunze ilituje faidika nayo. Kwa hiyo la muhimi sasa ni ku-invest kwenye agriculture expertise/skills kwa vile soko lipo badala ya kuwapa wao ili muda utakapofika iwe zamu yetu kupeta.
 
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!

Mkuu Bishanga,

Kwa nini tusilime wenyewe na kuwauzia chakula? Je, Inaingia akilini kweli kwamba wanataka kulima kwa ajili ya kulisha wananchi wao? Sound to be a shady deal, mzee. Kumbuka kwamba sasa hivi teknolojia pia inabadilika mafuta ya ethanol nayo yanaanza kuchukua mkondo. Hawa jamaa wanaangalia mbali zaidi . Miaka 99 hata 33 si mchezo kwa mwekezaji. Tunaongelea mpaka vizaizi 3.

I will sticky to my position. This deal sound to be shady period.
 
Wapeni dodoma kama wakulima kweli ,ila mradi wa miaka 99 ,huyo mfalme atakuwa amekwisha elekea mbele ya safari halikazalika na Kikwete bila ya kuwasahau wachangiaji wa JF ambao wanapitisha 40ies ,mi ni miaka 23 + 99 = 2399 sifiki hata kwa uchawi.
Bora tuwape.
 
Wana JF,
Napenda kuwakumbusheni tu kwa uchache kuwa hili suala la ardhi kugawiwa nchi ya kigeni ndilo limesababisha kupinduliwa kwa Ravolamana huko Madagascar na kijana DJ.
 
Cha msingi hapa ni kuangalia kama katiba inamruhusu Rais (au executive arm of government) kusign deals of such magnitude bila kujadiliwa na bunge.

Kama rais au waziri ana mamlaka ya kuingia mikataba kama hii, basi kwa mtazamo wangu katiba ina dosari kubwa sana.

Napendekeza katiba ibadilishwe ili bunge liweze kuchambua mikataba ya namna hii kabla haijasainiwa ili wadau wengi iwezekanavyo watoe mchango.

Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano (2000) isome hapa neno ardhi limetajwa mara mbili tu (ukurasa wa 22) na halijatajwa kutoa ruhusa hiyo.

Ila katika kumbukumbu zangu nakumbuka Tanzania serikali inafanya "eminent domain" kuhusu ardhi popte itakapotaka, wananchi na wengine wote wamekodishwa tu na ardhi ni mali ya serikali.

Swali linabaki, rais ana mamlaka haya ya kugawa ardhi bila kushauriana na bunge au taasisi nyingine yoyote?
 
Baada ya kupitia posts za wachangiaji wengine, it seems we don't need any foreign investment in agriculture. am I right? If that is the case, TIC should be advised to stop attracting investors on that sectors because they are not needed.

Pili, hawa jamaa wametuma maombi ya ardhi ya ukubwa wa hecta 500,000. This is what they want. Hii haimaanishi kuwa watapewa hecta 500,000. Tunavyojadili hapa ni kama vile watapewa hecta 500,000. Tena, Rais alinukuliwa akisema kuwa uwezekano uliopo ni wao kukodishiwa hecta 10,000 per investor, kama sheria zinavyosema. So, kama wakipata hecta 100,000 Tanzania, then watatafuta hizo hecta 400,000 sehemu nyingine. This is my understanding.

To the author of the letter, how can you separate TIC and The President on issues like this one? Wewe unavyofikiri walianzia TIC au kwa Mr. President? Your argument should have been strong if you compared the costs and benefits of the deal and base your argument on that. You need numbers or at least robust qualitative analysis. Argument based on speculation can easily be challenged. That being said, I suggest you withdraw your letter and take some time to identify and quantify (if possible) all benefits and costs associated with the deal.
 
Zungu Pule,

Thank you for your response.

Zungu, the issue raised in my letter does not need any quantification as it is a simple math. You need 50 Saudis to aquire such urge land under the proposal from the President who happen to be the trustee of the wole land in Tanzania.

He has the power as a trustee to dispose that land even though the land belongs to the people. We have seen that these 'deals' are not for the best interest of the Tanzania( Past experience shows that).

That being said, we still hold the President accountable to make sure that he give first priority to the national interest. Take not that: Ardhi haiongezeki bali population uongezeka. Land is very sensitive and I suggest that land matters and teh policy thereto should be discussed by the wananchi through their representatives and not a single person as suggested by the Land Act (1998).

Laslty but not least, so far the deal does not show any sign of benefits to an ordinary Tanzania( past deals also indicated that refer Loliondo gate et al)

Shadow.
 
"Carrot and stick" inakujaje hapa?

Halafu kama tunashuku kuwa tunaboronga lugha za watu ni bora kuandika kwa lugha ya nyumbani. Hata kama maswala unayo, ukikosea lugha wakati hukulazimishwa kuandika kiingereza unajionyesha hujui kuleta maswala, unawapa watu mwanya wa kuhoji kama kweli unajua hata maswala yenyewe.

Au ndiyo barua haionekani ya kisomi mpaka iandikwe kiingereza?

Kama tulikosa uerevu hata wa kushuku hivyo ndiyo tunaambiwa hapa na "sura za kirafiki zisizo unafiki" kabla hatujaboronga kwenye hadhira nyeti.
 
Last edited:
"Carrot and stick" inakujaje hapa?

Halafu kama tunashuku kuwa tunaboronga lugha za watu ni bora kuandika kwa lugha ya nyumbani. Hata kama maswala unayo, ukikosea lugha wakati hukulazimishwa kuandika kiingereza unajionyesha hujui kupresent issues, unawapa watu mwanya wa kuhoji kama kweli unajua hata issues zenyewe.

Au ndiyo barua haionekani ya kisomi mpaka iandikwe kiingereza?

Kama tulikosa uerevu hata wa kushuku hivyo ndiyo tunaambiwa hapa na "friendly faces", kabla hatujaboronga kwenye hadhira nyeti.

Mkuu Bruray, asante kwa mchango wako. Kukosea ndo kujifunza.

Having said that, Issue of carrot and stick ( I just used an idiom to summarise the theme of my paper) and I did not mean a literal meaning of 'carrot' and 'stick'

Wakatabahu,

Kukosea ndiyo kujifunza, ushajua umekosea wapi lakini? Kama umejua unasahihisha? Kama hujajua utajifunza vipi?

Concept ya maneno ya "Carrot and stick" na diplomasia yake naielewa tangu etymology yake kwenye "The Economist" na ilivyokuja kuwa popularized na the Harry Truman administration, so I do understand the whole idea behind "carrot and stick" diplomacy. Kuelewa huku ndiko kunakonifanya niulize, labda kuna dimension mpya ya hii issue mimi siifahamu na wewe mkuu unaweza kutuwekea sawa. Najua umetumia "carrot and stick" kama msemo na humaanishi literally, lakini misemo inaposemwa hutakiwa kuwa na maana, na mimi sioni maana, ndiyo maana nikauliza maana.

Siyo kwamba sielewi maana ya msemo, au nafikiri unamaanisha carrot and stick literally, hasha, nataka kujua concept ya carrot and stick inaingiaje hapa?

Wamarekani walipo mpa pressure Saddam Hussein kwamba akikubali weapons inspection atapata msaada wa UN na akikataa atapata vikwazo, hiyo ilikuwa carrot and stick diplomacy, akikubali atapata msaada (carrot) akikataa atapata vikwazo (stick) kama punda ambaye akienda vizuri na kubeba mzigo atapata carrot (mbele, mdomoni ili aende mbele) na asipoenda atapata stick (fimbo)

Nisichoelewa ni jinsi hii concept ya carrot and stick inavyo apply kati ya Kikwete na Wa Saudi.
 
Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano (2000) isome hapa neno ardhi limetajwa mara mbili tu (ukurasa wa 22) na halijatajwa kutoa ruhusa hiyo.

Ila katika kumbukumbu zangu nakumbuka Tanzania serikali inafanya "eminent domain" kuhusu ardhi popte itakapotaka, wananchi na wengine wote wamekodishwa tu na ardhi ni mali ya serikali.

Swali linabaki, rais ana mamlaka haya ya kugawa ardhi bila kushauriana na bunge au taasisi nyingine yoyote?

Bluray,

Mtizamo wangu ni kwamba Rais anapata mamlaka ya kusimamia Ardhi yote ya Tanzania kama 'trustee'. Amepewa hayo mamlaka kupitia Bunge. Ukiangalia enumerated power za Bunge letu kama zilivyoaninishwa na Ibara ya 63 hasa Ibara ndogo ya 3 (d) ni Kutunga sheria.

Bunge limetunga sheria na kumpa hayo madaraka makubwa Rais wa JMT kusimamia masuala yote ya ardhi( Sheria za ARDHI Namba 4 na 5 za 1999). Suala ni kuwa Rais wetu ana nguvu sana za kimadaraka na kama akilewa na hyo madaraka inaweza kuwa balaa kwa mstakabari wa Taifa.

Shadow.
 
Kukosea ndiyo kujifunza, ushajua umekosea wapi lakini? Kama umejua unasahihisha? Kama hujajua utajifunza vipi?

Concept ya maneno ya "Carrot and stick" na diplomasia yake naielewa tangu etymology yake kwenye "The Economist" na ilivyokuja kuwa popularized na the Harry Truman administration, so I do understand the whole idea behind "carrot and stick" diplomacy. Kuelewa huku ndiko kunakonifanya niulize, labda kuna dimension mpya ya hii issue mimi siifahamu na wewe mkuu unaweza kutuwekea sawa. Najua umetumia "carrot and stick" kama msemo na humaanishi literally, lakini misemo inaposemwa hutakiwa kuwa na maana, na mimi sioni maana, ndiyo maana nikauliza maana.

Siyo kwamba sielewi maana ya msemo, au nafikiri unamaanisha carrot and stick literally, hasha, nataka kujua concept ya carrot and stick inaingiaje hapa?

Wamarekani walipo mpa pressure Saddam Hussein kwamba akikubali weapons inspection atapata msaada wa UN na akikataa atapata vikwazo, hiyo ilikuwa carrot and stick diplomacy, akikubali atapata msaada (carrot) akikataa atapata vikwazo (stick) kama punda ambaye akienda vizuri na kubeba mzigo atapata carrot (mbele, mdomoni ili aende mbele) na asipoenda atapata stick (fimbo)

Nisichoelewa ni jinsi hii concept ya carrot and stick inavyo apply kati ya Kikwete na Wa Saudi.

Asante Mkuu BluRay,

Ndo maana kwenye hilo suala nimetumia alama ya kuuliza (?). I am open to criticism na kuonyeshwa wapi nilipokosea.

Uliposema "carrot and stick" ulikuwa na maana gani?
 
Saudia have the largest foreign currency reserve estimated at USD 800 billions!

Ila sijui mchango wao kwa Tz au nchi maskini..ambazo sii za Kiislamu!

Saudia ndo hutoe pesa nyingi zaidi Palestine na Gaza! Ktk ujenzi wa Gaza wamecommit zaidi ya USD 1 bil tayari!

Je how much sisi tufafaidika as a country???
 
Last edited:
Mungu wangu, Mkapa alitufunga kwenye mikataba ya ajabu. Na huyu Kikwete kwenye mikataba ya ajabu zaidi....tena kwa Waarabu? JK anajua kweli historia? Waarabu?.....ama 'miafrika ndovyo tulivyo'!
 
Bluray,

Mtizamo wangu ni kwamba Rais anapata mamlaka ya kusimamia Ardhi yote ya Tanzania kama 'trustee'. Amepewa hayo mamlaka kupitia Bunge. Ukiangalia enumerated power za Bunge letu kama zilivyoaninishwa na Ibara ya 63 hasa Ibara ndogo ya 3 (d) ni Kutunga sheria.

Bunge limetunga sheria na kumpa hayo madaraka makubwa Rais wa JMT kusimamia masuala yote ya ardhi( Sheria za ARDHI Namba 4 na 5 za 1999). Suala ni kuwa Rais wetu ana nguvu sana za kimadaraka na kama akilewa na hyo madaraka inaweza kuwa balaa kwa mstakabari wa Taifa.

Shadow.

Hili linaeleweka na ndiyo outrage ya wengi hapa.

Swala ni, "carrot and stick" inakujaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom