Open letter to all the men I loved before

Kwahiyo ndo umeniacha rasmi kupitia uzi huu Nazjaz? Mwenzio bado nakupenda lol!
 
Nitafanya juu chini nikupate,kwani nmeyamis sana hayo mahaba shatashata kutoka kwako dear.
 
Uliachwa kwa sababu ulikuwa nao wengi.unakuja kutapatapa hapa Jf. KUVUJA KWA PAKACHA...
 

Labda nilize kisha nipite zangu.....Hapo unamaanisha nini precisely? hasa underlined word
 

Hayo nd'o mawazo yanatawala vichwa vya watz, hapo ndipo wasomi maprofesa na mambumbu wanapokuwa kwenye class moja. Wenzetu wanarusha maroketi kwenda kufanya scientific research kwenye sayari zingine, watz bado wanafikiria ngono karne hii..!!!!! Looo...!!!!
 
Nakuhakikishia kwamba kama lile pepo lilikuwa likikufanya ujirahisi kwa hilo LUNDO la wanaume halijakemewa na kutoka SAHAU kudumu na huyo mwanamume wako. Hilo pepo litaendelea kukufanya uendelee kurukaruka.Tafuta MTUMISHI alitoe hilo PEPO ndipo urudi hapa katika jukwaa kutoa ushuhuda.
 

Kabla ya kwenda kufunga pingu za maisha nakuomba unipe ya maagano; naamini kuna ufundi mwingine nilikuwa sijakufanyia. Naomba unielewe mpenzi wangu, siamini kama ulompata atakufanyia majambozi kama niliyokuwa nikikufanyia mie.
1. Anajua kubembeleza kweli, ?
2. Anajua kuvuta subira ili nawe uwe na mashamsham ya kugongwa?
3. Anastahimili kucheza mchezo kwa zaidi ya dak. 45?
4. Atakubali kweli kukuingia chumvini?
5. Ni mstaarabu kiasi kwamba hatakuomba 0713....

Baada ya majibu yaa maswali haya nakutakia kila la kheri,
Ndimi nilokupenda kwa moyo na kutaka kukufanya nyumb ndogo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…