Wanataka wajue watu wangapi wamejiandikisha au maana hujatoa mantiki yoyote hapo ya kuzionesha. Aliyekutuma utoe taarifa hujamuelewa rudi tena njoo hapa October.
Hadi Oct.2015 utajua mantiki yake nini.Hiyo imekaa poa. Hiyo ndiyo silaha pekee ya Myonge.
Wantazania wangejua maana halisi ya Kadi ya Mpiga kura wasinge fanya masihara. Kadi ya Mpiga kura na Kupiga kura kwenyewe ni vitu vyenye dhamana ya mamilioni ya SH.
Mfano mzuri tu.
Tuko Milioni 40.
Tunadaiwa hizo trilioni sasa gawa kwa kila mtanzania.
Kwa maana rahisi kura yako unampatia atakaye kwenda kuhakikisha hiyo Deni linalipwa na huku ukiendelea na maisha nafuu-baada ya Miaka mitano unafanya tathimini kama kaboronga unampiga chini bila kutoka jasho.
Ukifanya bhivyo wanasiasa uchwara na waongo na mafisadi lazima watakimbia na pengine hata miaka mitano isifikie kama umemchagua Mbunge Bora na Si bora Mtu.
CHADEMA inapaswa kutilia mkazo zaidi kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini na mkoa wa Dar es salaam. Wahakikishe kila mtu anaandikishwa. Kwa taarifa nilizonazo CUF wanafanya vizuri mpaka mada huu katika mikoa ya Lindi na mtwara. Ukiweka na nyanda za juu kusini ambako CHADEMA ina nguvu sana,mchezo umekwisha.
Remember always politics is about numbers.
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei
Acha kuweweseka Mkuu! Umangi unatoka wapi kwenye mada hii?
Kabisa!kabisa :cheer2: :cheer2:Ni kweli kabisa imekaa vizuri.............CHADEMAAAAAAAAA :cheer2::cheer2:SHAHADA MKONI watu ni:whoo: :whoo::whoo:
Una mahesabu mazuri sema hawakutambui kwasababu wewe sio mangi. Badili ukoo kwa mahesabu yako hayo ungepandishwa cheo ukawa mlinzi kwa Mzee Mtei