Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,374
- 219,749
Tundu Lissu ni mtu pekee anaye kwambia ukweli mchungu Mungu ambariki sana angekuwa sehemu nyingine wangemuita mzungu maana maneno yake yamebeba maono na uzalendo.View attachment 2708370
Kama tulivyoahidi hapo awali kwamba , Elimu hii ya Umuhimu wa Katiba Mpya na kampeni ya kuokoa Bandari za
Hakika !Tundu Lissu ni mtu pekee anaye kwambia ukweli mchungu Mungu ambariki sana angekuwa sehemu nyingine wangemuita mzungu maana maneno yake yamebeba maono na uzalendo.
AmenCHADEMA ni Mpango wa Mungu
Huwezi kutaka kuuhujumu Mango wa Mungu ukabaki Salama.
Mfano hai ni Mwendakuzimu Jiwe.
Tunajaribu kuwaeleza wananchi chanzo cha umasikini wao wa kutishaHaya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja...
Sasa usipo jua ulikotoka Utajuaje unapoenda?Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja...
Noma sanaHuu ni Mpango wa Mungu....wamejificha huko Msimbazi
Hiki ni kipande tu cha alichoongea. Naona unadhani alifika akasema hivyo tu kisha akaondoka. Mbona huko kwenye nyumba za ibada bado wanaongea ubaya wa shetani na hawajikiti kwenye mambo mapya na watu hawawi bored?Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.
swadaktaHiki ni kipande tu cha alichoongea. Naona unadhani alifika akasema hivyo tu kisha akaondoka. Mbona huko kwenye nyumba za ibada bado wanaongea ubaya wa shetani na hawajikiti kwenye mambo mapya na watu hawawi bored?
Ukitaka kufahamu unakokwenda ni budi ufahamu ulikotoka! Hii ni muhimu sana kwa vijana ili uweze kupima mipango yako.Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.
AminaUkitaka kufahamu unakokwenda ni budi ufahamu ulikotoka! Hii ni muhimu sana kwa vijana ili uweze kupima mipango yako.
Pole kwa kusahauNaona Chadema wameamua kukita kambi Kanda ya Ziwa...
Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.