Hivi wewe unazijuwa weasel phrases na zinavyohusiana na unconscious thinking? Amesema If President Obama is elected in November. Mitt, hajawahi kuwa POTUS kwahiyo hakuteleza pale.Jamani kwani hakuna binadamu ambaye hajachapia? Vitu vingine si ishu wala nini.