...insert USB-drive yako uendelee ku-upload more files bana!
Tena ndio wakati wa kutumia 'ports' zote sasa, ushajimilikisha hiyo!
View attachment 14468
Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only.
Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita na bila shaka upande wa kina binamu......hapa nifanyeje>
mawazo yangu nafikiria kubonyeza CTRL+ALT+DEL then TASK MANAGER kisha END TASK...
happy friday!:wink2:
Bonyeza power button kama sekune 45 hivi. Computer itazima. Pumzika kidogo.
Washa computer yako wakati ukibonyabonya F8. Utapata menu na utachagua Safe Mode (inategemea na girlfriend wako lakini. kama ni 'mchina' F8 haitakusaidia. na kwa hiyo itabidi ulee mimba).
Ukiwa kwenye Safe Mode utakuwa na uwezo wa kutumia application kama Marie Stops inayopatikana kwenye Administrative Tools ya Control Pannel.
Usijaribu kuscan maana utarutubisha yai
Mh... aisee kuna folders nyingine bana kiherehere sana, hukawii kukuta pop-ups aisee
Apotezee sio?
How about CTRL + SHIFT?
Inabidi ufanye PING statistics ikitokea ikakwambia DESTINATION HOST UNREACHABLE angalia IP address yako kama ni STATIC IP au DYNAMIC IP
ukigundua kuwa imekuwa blacklisted jaribu zile PUBLIC IP
elizas are here to stay eeh mpwa....hahahaha ngoja ni run autorun>>>>
ELIZAs are here to stay eeh mpwa....hahahaha ngoja ni run AUTORUN>>>>
Hivi hiyo kompyuta ndo unayotumia kubandika mabandiko haya??reggers: reggers:
Hebu mwambie ailetee kwenye kitengo cha IT cha ISC tuifanyie check up sijui ni make na model ya wapi
...maajabu ya flat screen kugeuka CRT hii, sijui walitumia antivirus za kichina hawa? hehehhehee!