chopeko JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 1,527 Reaction score 1,113 Oct 17, 2016 #2 kalitumikie taifa acha uvivu! ulitakiwa ufurahi ikifika siku ya kwenda kuwajibika!
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Oct 17, 2016 Thread starter #3 chopeko said: kalitumikie taifa acha uvivu! ulitakiwa ufurahi ikifika siku ya kwenda kuwajibika! Click to expand... Huyu jamaa hataki kwenda shule alileta timbwili Ijumaa sasa anaogopa revenge. Na pia kwa upande wangu nimelitumikia hili taifa butu hadi nimezeeka lakini sioni matunda kila siku afadhali ya jana.
chopeko said: kalitumikie taifa acha uvivu! ulitakiwa ufurahi ikifika siku ya kwenda kuwajibika! Click to expand... Huyu jamaa hataki kwenda shule alileta timbwili Ijumaa sasa anaogopa revenge. Na pia kwa upande wangu nimelitumikia hili taifa butu hadi nimezeeka lakini sioni matunda kila siku afadhali ya jana.