Onyo wana ccm

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
878
naomba kuwaasa wanaccm songea mjini waache ubaguzi hasa huyu katibu alietoka namtumbo mbinafsi sana tena mvurugaji mkubwa embu jivueni hayo magamba mnatuharibia chama nyiee :smash:
 
naomba kuwaasa wanaccm songea mjini waache ubaguzi hasa huyu katibu alietoka namtumbo mbinafsi sana tena mvurugaji mkubwa embu jivueni hayo magamba mnatuharibia chama nyiee :smash:

Wapi picha?
 
mkuu ukitaka picha utataka na majina ila nadhani mes sent

Message ipo kwenye jukwaa la picha, nilidhani ulisahau kubandika picha-kama sivyo basi sidhani kama hapa inastahili kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…