Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,151
- 14,490
Wakuu salam nimetoa.
Sudan haikuanza kwa mabomu wala mapanga. Ilianza kwa serikali kupuuza maoni ya wananchi na kudhani nguvu ya dola inaweza kuzima kila kitu.
Wananchi walitaka nini?
1. Ushiriki wa kisiasa
2. Haki na usawa
3. Kusikilizwa
Serikali ikachagua nini?
1 Mabavu
2 Jeshi
3 Kufunga milango ya mazungumzo
Matokeo yake tunayaona leo.
Kosa kubwa la Sudan lilikuwa moja:
👉 Kuona kila mkosoaji kama adui wa taifa.
Hili ni kosa ambalo nchi nyingi Afrika zimefanya, na zote zimelipa gharama kubwa:
.Libya
.Sudan
.Ethiopia (sehemu)
Historia inaonyesha wazi:
Ukiziba njia za amani, wananchi hutafuta njia mbadala na mara nyingi si za amani.
Tanzania imejengwa juu ya:
.Maridhiano
.Uvumilivu
.Mazungumzo
Lakini ukweli usemwe: Amani haidumishwi kwa:
.vitisho
.ukamataji
.kuzima hoja
Amani inadumishwa kwa:
.haki
.kusikiliza
.kuheshimu tofauti
CCM ijitathmini mapema.
Sudan viongozi walichelewa kujitathmini, wakaambiwa “ni mambo madogo, yatapita”.
.Hayakupita.
.Yalikua.
.Yakawa taifa lililovunjika.
Hoja yangu ni moja tu:
👉 Chama chochote kinapojiona kikubwa kuliko wananchi, huanza safari ya hatari.
Amani ya Tanzania si mali ya CCM, wala si mali ya upinzani.
👉 ni mali ya Watanzania wote