halafu ukome kumtajataja mume wangu kwenye mauzinifu yenu ameokoka ujue.
Mzee ya ngoswe mwachie ngoswe......mhusika mwenyewe hana uhakika mimba ni ya nani,ila mi najua ni ya kwangu.
Cc: kiplagati26
Chimbuvu
CHAI CHUNGU
Ben Saanane
tedo
Kama sikosei na Arushaone
sikutaki mi nnaye mwingine ntamuweka hadharani soonhakuna mwingine zaidi ya @chimbuvu
lione, wivu tu umekujaa mpaka katikati ya mapaja
Umeiona list ya mmeo mko wa ngapi?
eti eh?
mkwaraa mbuzi...Humu cc kuna watu wanatongoza mke wangu kipenzi,wanatongoza mahawara zangu,vimada wangu,nyumba zangu ndogo,wanatongoza ma concubine wangu,mistresses wangu,last warning ole wako uendelee na mchezo huo mchafu,hivi ninavyoongea niko maeneo ya Goma nimeelekekezwa kwa fundi anaitwa mbamba zimbolola wa bambate,ye kazi yake ni moja tu kuhamisha kikojoleo cha mtuhumiwa na kukibandika usoni.
Wabaya wangu mnajifahamu kwa sura na majina......i am watching you!!!!
Cc Baba V na Mama v.
sikutaki mi nnaye mwingine ntamuweka hadharani soon
halafu we Lady doctor wewe iko siku utanizalia,we subiri tu nakulia timing.
Lady doctor kwa nini unamlangua mke wangu? Mzee i am watching you meeeen!