Mkwara tuu huo wala hakuna kikojoleo kitahama
Copy KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Madame B na Zion Daughter na Ladyfuahia Mamndenyi mzima wewe na chama hajambo
Lady doctor hivi unajua mi na wewe tumesoma darasa moja mbuyunin1967,sasa ugomvinunantafuta wa nini?
Mzee ya ngoswe mwachie ngoswe......mhusika mwenyewe hana uhakika mimba ni ya nani,ila mi najua ni ya kwangu.
Cc: kiplagati26
Chimbuvu
CHAI CHUNGU
Ben Saanane
tedo
Kama sikosei na Arushaone
halafu ukome kumtajataja mume wangu kwenye mauzinifu yenu ameokoka ujue.
sawa Mzee ila hebu tupia jicho kwa The secretary anaweza akakufaa maana bado binti na kazi zote anaziweza halafu hajaolewa bado
Hivi mmeo halali ni nani?
Maskini Arushaone anadanganywa kirahiiiiiiiiiiiiisi.....