Pamoja na kazi kubwa wanayoifanya ya kuisimamia serikal... kuna jambo moja waheshimiwa hawa wamekuwa wakijisahau nalo.. ukiacha baadhi ya wabunge wanaopenda kuwatumikia wananch wao(nawaita watumishi) kama wakina JJ Mnyika, Msigwa, Mwakyembe, Mbowe, Tibaijuka,Lema, Nasary, Machali, Lissu, Sugu, Magd.Sakaya na wengine wengi... wapo wabunge wanaendeleza tabia mbaya ya kuita watu.....'WANANCHI WANGU' badala ya kuita wananchi wa mahali.. mf. wananchi wa Peramiho.. unakuta mbunge anasema et wananch wangu wa peramiho... kama vile yeye ni mama\ baba yao.. hi ni tabia mbaya ya kudhani ukiwa mbunge basi wewe ndio kila kitu\ mungu wa watu wa eneo fulani... huku ni kuwafanya wananchi wajinga na kuendeleza tabia ya kulalamika, kwani wapo watu wenye ushawish bila madaraka.. (influency without position power) kwa sabab imefika mahal mtu anasema et nimewazuia wananch wangu kuhudhuria mikutano ya chama X.. huu ni ujinga, na wakome kabisa kutuita wananch wao..! waseme wananch wa mahal fulani..sisi sio wananchi wao...!
Mkuu utanisamehe kama nimeshindwa kuibalanc kwa namna unavopenda, lakni we huoni kila k2 mtu anasema naomba serikal iangalie, naomba mbunge etc.. huku ni kupokwa power kwa namna moja au nyingine kisaikologia, alaf wanasema tunalalamika huku wanatuita wananch wao... wat a funny!!Umeandika kishabiki sana……..kumbuka mbunge ni mwakilishi wa watu kutoka jimbo flan….sasa anapo tetea wananchi juu ya jambo flan sion takitizo kutumia neno "watu wangu" kwa maana wmemtuma pale….
THE EAST AFRICA TIMES
Katika Psychology unapotumia neno wangu means possession, over control and ownership, it does not mean that you care about those people than to use them for yourown advantage. Hili neno "watu wangu" lilitumika Enzi zile za UTUMWA, kuonyesha umiliki wa biashara ya watu katika soko la MANAMBAUmeandika kishabiki sana……..kumbuka mbunge ni mwakilishi wa watu kutoka jimbo flan….sasa anapo tetea wananchi juu ya jambo flan sion takitizo kutumia neno "watu wangu" kwa maana wmemtuma pale….
THE EAST AFRICA TIMES
Mkuu Githeri .. wapiga kura hawez kuwa wako.. kwa sabab hata wapinzani wako ambao kura hazkutosha na yeye atasema wapiga kura wake.. maana na yeye alipigiwa kura.. sio sawa hata kdogo.. aseme wapga kura wa jimbo x.. inatosha kabisa hata kimaadili inapendeza..!Wapiga kura wangu je ni sahihi?