Only in Tanzania shameful TANESCO

Naheshimu sana post zako ila leo nashindwa kuelewa umepost kwa nia gani? Hiyo sio Tanzania, huo ni upotoshaji.
 
Bado hujaeleweka na inabidi tuamini ni upotoshaji so weka maelezo kwa kina ili hatua zichukuliwe.
Ni wapi, ina muda gani, wewe mwenyewe ( kama mTZ) umechukua hatua gani ukashindwa wapi na vitu kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…