Online Radio App

edneltz

Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
44
Reaction score
25

Attachments

  • IMG-20180114-WA0019.jpg
    40.5 KB · Views: 60
  • IMG-20180114-WA0019.jpg
    40.5 KB · Views: 57
Play console ulipopublish App chini ya User acquisition kuna Adwords Campaigns.
 
Hapo inabidi uende google adwords utengeneze kampeni ya kutangaza hio app yako kupitia playstore.....tumia kadi za equity bank

Kwa ushauri wangu wa ziada tumia facebook ads mana ni rahisi kuwafikia hadi watu wa instagram
 
Unalipia per click. Na mara ya mwisho nilipocheki hauwezi kurun Ads playstore peke yake, unaweza kufanya universal App campaign ambayo Ad itaonyeshwa kote katika site za google i.e search,play,youtube,banners au unaweza kufanya search campaign ambayo itaonekana search na unaweza kuongezea play search.

Hizi Ad ni expensive na mara nyingi hazileti ROI ila inategemea lengo lako ni nini. Itabidi uingie tu Adwords uwe teyari kufanya majaribio na pesa yako.
 
Ok shukran mkuu ngoja nijaribu
 
nikushauri tu ili hio app yako ipate watu wengi wa kusikiliza fanya utafiti kwa Kila mkoa upate redio zilizopo alafu chagua zenye wasikilizaji wengi uziweke kwenye app yako ili kufanya Kila mtu kuipenda maana kuna redio ambayo anaipenda
 
App yako boss iko poa sana... Lakini kuna machache rekebisha, ukirekebisha naomba unijuze, maana nipo mkoani Na kuna channel nzuri sana za dini zimenivutia...

Marekebisho:
1. Wapo Radio inaingiliana Na radio one, yaani Niki bofya wapo inakuja Redio One.

2. Upendo Redio haifanyi kazi... Yaani button yake imekuwa kama "disabled"

3. Naomba uongeze Na times fm

Ni hayo tuu....
 
OK asante kwa maoni yako,nitayafanyia kazi ila kwa upande wa times FM mbona ipo?
 
OK asante kwa maoni yako,nitayafanyia kazi ila kwa upande wa times FM mbona ipo?
Ebony FM ya iringa vipi mbona haipo?
Hii radio nyanda za juu kusini inapendwa sana
 
Playstore Pubilsher>user accusation>create campaign, baada ya hapo ukiweka payment option sehemu ya kujaza Bid size ndio watu wanafeligi apo,,,Kuna mtu ana budjet ya 5$ a day anaweka bid size ya 1$, utajikuta kwa siku budjet yako inazidi hadi kufikia dola 50 wakati wewe hukuset ivo!!!, au unajikuta unapata clikcs chache kwenye ad yako,, so kibongo bongo bid size nzuri weka 0.05 mpaka 0.1! kwa budjet ya kuanzia 5$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…