Massawe909
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 310
- 472
Exchange rate ya leo 2315usdxchange rate sio fixed kuna siku inafikia hadi 2400
Achanao hao crdb kuna muda unaweza kulipia pesa kwa paypal lakini utakuta salio halikatwi kwa wakati huo uliolipia bidhaa ukiangalia salio lile lile akati nimelipia bidhaa nilikuja kushtuka ni kama kuna ujanja flani watu wanafanya uhuni utapata mawazo tu nilishaachana nao kitambo tu sasa natumia mpesa card ambao wameunganisha na bank abc malipo chap na sms ya makato inakuja hapo hapo hakuna usumbufu wowote
Mkuu nimekuelewa hawa jamaa ni wezi sana wanafanya utapeli wa wazi wazi kabisa ila hili lazima wakanipe maelezo ya kutoshaAchanao hao crdb kuna muda unaweza kulipia pesa kwa paypal lakini utakuta salio halikatwi kwa wakati huo uliolipia bidhaa ukiangalia salio lile lile akati nimelipia bidhaa nilikuja kushtuka ni kama kuna ujanja flani watu wanafanya uhuni utapata mawazo tu nilishaachana nao kitambo tu sasa natumia mpesa card ambao wameunganisha na bank abc malipo chap na sms ya makato inakuja hapo hapo hakuna usumbufu wowote
Sizani kama inawezekana ila sasa bank inaofisi mikoa yote watafute ujue wako wapi utapata kadi na kuweka pesaJe nifanye nini ili acc ya mpesa mater card iweze ku- link na PayPal?
CRDB hawaeleweki,Mimi huwa natumia EQUITY BANK na sijawahi pata hizo mambo.Naona tangu Kimei aondoke mambo ni mrama pale CRDBWakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016
Hawawezi kuwa na Cheo hicho hawa...Ila hio ya MPESA nitaijaribu piaMkuu nimekuelewa hawa jamaa ni wezi sana wanafanya utapeli wa wazi wazi kabisa ila hili lazima wakanipe maelezo ya kutosha
Nampango wa kwenda crdb azikiwe nikaonane na online purchasing manager kama wanae
Exchange rate ni hiyo hiyo mkuu tena kwa sasa bidhaa nyingi wameandika shiling ya kitanzaniaMm nadhani issue iko hapo kwenye exchange rate, Hiyo 2315 ni ya kwenye soko letu huku bongo, alibaba kama soko wana exchange rate yao, ni mtazamo tu sina uhakika sana.
Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016
Hili ndiyo jibu sahihi.Mm nadhani issue iko hapo kwenye exchange rate, Hiyo 2315 ni ya kwenye soko letu huku bongo, alibaba kama soko wana exchange rate yao, ni mtazamo tu sina uhakika sana.
crdb wapuuzi sana mkuu ,nimewahi kufanya online purchase mara kibao wanachelewa mno kukata ela kutoka kwenye account
Nilichokuja kugundua kuna wajanja wachache wanapiga hela kidogo kidogo bil wewe kujua ndo mana wanazuia pesa zisiende kwa wakati inamana wewe mteja unakuwa unashindwa kujua makato ni kiasi gani mana ukiangalia salio unakuta ni lipo vile vile wakuja kukata baada ya miez miwili mbelecrdb wapuuzi sana mkuu ,nimewahi kufanya online purchase mara kibao wanachelewa mno kukata ela kutoka kwenye account
Najiuliza hii bank ina maana wakurugenzi na wanahisa hawalioni hili?Nilichokuja kugundua kuna wajanja wachache wanapiga hela kidogo kidogo bil wewe kujua ndo mana wanazuia pesa zisiende kwa wakati inamana wewe mteja unakuwa unashindwa kujua makato ni kiasi gani mana ukiangalia salio unakuta ni lipo vile vile wakuja kukata baada ya miez miwili mbele