rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 130
- Thread starter
-
- #21
ok hiyo ilikuwa alpha version............. naweza kuadd functionality ya mteja kuselect mgahawa kulingana na sehemu alipo. ukiwa dar utahudumiwa na migahawa iliyo karibu na wewe..the same ukiwa mbeya.........kumbuka hata google unayoiona leo haikuwa hivo mwanzo......... hizo system analysis and development nshafunika kitambo......na bahati nzuri nilianza na tutorial za havardKazi nzuri ila ujafanya feasibility study ya kutosha mfano mm npo mbeya mgahawa upo dsm je nikiagizia chakula utaniletea ok may be mm npo kko mgahawa upo kimara nikiagiza chakula nile fasta utaniletea siku zote ICT solve problems by develop software lakini wewe iyo software yako itamuongezea stress client na user soma sad or system analysis and developmen
chakula kitaharibikaje wakati kinakuwa delivered within 20 to 60 minutes?Coding isnt first thing in designing and development of software lazma uanze na analysis ya problems kwanza kuliko wewe nakushauri project yako ime fail aiwezi msaidia client labda ubadilishe iwe ya vitu visivyo haribika mfano electronics device nguo nk
kwani we ukipanda bodaboda na unaenda sehemu ambayo hijui huwa unamwelekezaje mpaka unafika?adress tunatumia kama tulivozoea afrika mfano tegeta nyaishozi halafu unataja na eneo maarufu lili karibu na hiyo location........foleni sio ishu kwani watu wa delivery watatumia pikipiki na watapita njia za mkatoKwa iyo jaribu kufanya utafiti kwanza ila iyo project yako n painful and cost 2 wenzetu ulaya wana tumia address pia hakuna foleni pia uyo mwenye mgahawa inabidi awe na branch nyingi au mobile cafe kwa iyo total ime fail kwa mazingila ya hapa tz ila upande wa kodi nakupa big up next time angalia vizuri
wakatishaji tamaa huwa siwasikilizi..........thanks for your comentNimegundua kwenye jamii wako ambao wanakata sha watu tamaa mnoo ukiwa unafata kila kinachoongelewa huta songa mbele na kutimiza maneno yako.
Big up mtoa mada, hi 5 to Hello food tumeshuhudia na tumejionea kwa macho.
Kasie.
one hour sio muda mrefu sana ............kumbuka migahawa mingi wanaivisha msosi saa sita but ukienda saa kumi bado unakuta viko fresh........thanks kwa kuchangiaKwa bidhaa aina nyingi hiyo kitu inawezekana, ila kwa chakula kitasumbua manake kinahitaji at least 1hr after kupikwa kimfikie mteja, ili ale kikiwa fresh na akifurahie
Only way ni kuwa na genuine customers tu
wana comment negatively ni wale maprogrammer wenzangu ambao wamekariri makaratsi hawajui kwamba hivi vitu vinaweza kuwa implemted in real worldMsimkatishe tamaa jamani.
Hii kitu ipo teyari na inafanya kazi hapa Tanzania inaitwa HelloFood unaweza kuinstall app yao kwenye simu yako, wanakuletea msosi wa karibia restaurant zote kubwa kubwa.
Payment inafanyika on delivery au mobile money.
haijafeli mkuu......nothing imposible under the sun.......mwenye mgahawa sio lazima na branch nyingi bali migahawa yote tanzania itajisajili kwenye system so mteja atahudumiwa na mgahawa ulio karibu na yeye....hiyo functionality inpatikana beta versionKwa iyo jaribu kufanya utafiti kwanza ila iyo project yako n painful and cost 2 wenzetu ulaya wana tumia address pia hakuna foleni pia uyo mwenye mgahawa inabidi awe na branch nyingi au mobile cafe kwa iyo total ime fail kwa mazingila ya hapa tz ila upande wa kodi nakupa big up next time angalia vizuri
mkuu kila kitu we unawaza hakiwezekani...........naomba utoe project yoyote ambayo unahisi ni ngumu kwako thAtujamkatisha tamaa mkubwa ila kwa bidhaa ya chakula haifai ndugu
mi sijaona ugumu hapo...nothing is imposible........na nimeapa vitu vyote vinavyowasumbua wabongo ntavi implement tuAtujamkatisha tamaa mkubwa ila kwa bidhaa ya chakula haifai ndugu
atakayeimiliki ni mfanya biashara yeyote hata wewe unaweza imiliki then wenye migahawa/hoteli wanalipia subscriptionsOk kama itahusu migahawa mingi hapo sawa maana mtu hata hudumiwa mgahawa uliopo karibu yake hapo sawa ila je nani ataimiliki
Iko motivating sana hii kitu. Dar ukiwa smart unapiga hela kama jeff bezos!atakayeimiliki ni mfanya biashara yeyote hata wewe unaweza imiliki then wenye migahawa/hoteli wanalipia subscriptions
simple mathematics on money will be generated
if they pay you 100usd per month lets say you registered 1000 hotels and restaurant all over tanzania....100x1000=100,000usd per month hiyo ni pesa ndefu mzee........ you can live as a king
sureIko motivating sana hii kitu. Dar ukiwa smart unapiga hela kama jeff bezos!
yeah hiyo mada nlitoa the way before jumia food hawajaanza shughuli zao hapa mjinimtoa mada umenifanya nianze kufanya utafiti na kuanza kufungua biashara hii fasta
yeah capital inahitajikaInahitaji ka investment ka maana kidogo
hata dar es salaam inafanyika vizur hellowfood na jumia wanafanya vizur sana kwa hii appNataka nikafanye hii ishu dodoma, kule miji imepangika