rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 130
ok kwa tanzania malipo yanafanyika in pickup mode /delivery mode............yaani mteja atakulipa ukimfikishia order yakeHao wateja wanalipiaje......?......maana kwa TZ ni lazima mteja alipe kwanza ndio apate huduma.........hata wanaotumia hiyo huduma huko nje ni hivyo.........
Na kwa hapa TZ.........address naweka vipi ili delivery man anipate........?........
ok nimeadopt mazingira ya tanzania kwani malipo yanafanyika in pickup mode/delivery mode na transaction ni local mobile moneyUngejaribu kuona mazingira yetu ya kitanzania na mahitaji ya msingi ili kupanua wigo wa uuzaji programu yako.
ok kwa tanzania malipo yanafanyika in pickup mode /delivery mode............yaani mteja atakulipa ukimfikishia order yake
na kuhusu delivery mteja atajaza address anapotaka order imfate...........malipo ya mpesa tigo na airtel money ndo yanafaa zaidi
na kuhusu delivery mteja atajaza address anapotaka order imfate...........
Preta biashara ya pay on delivery tanzania ipo sana na kadri siku zinavyozidi kwenda inazidi kukua,alichoeleza mkuu hapo tayari kipo na kina work out tena saaana,mfano hello food wapo na migahawa yote hapa town na wanapiga bao la kisigino,na tunaposema pay on delivery sio kwamba system imekaa pasipo kuzungumza,ni hivi mteja kapress oda mfano wa io piza,ile system imekuwa developed kwamba anajaza taarifa zake alipo lkn lazima na mobile namba ajaze,meanwhile wewe muuzaji unakuwa na mtu wa customer support ambae kazi yake ni kufanya confirmation ya uhakika wa mteja,kwamba ni kweli kaweka oda?Je saa ngapi au lini io oda anaitaka apelekewe? Then katika maongezi ana take notes za mteja alipo na jengo gani maarufu lilipo pembeni yake au stand ya daladala n.k lkn msisitizo ni kumsisitiza mteja asizime Simu coz ile oda atakapo pewa mtu WA delivery inakuwa rahisi zaidi kumfikia,i wish nikuoneshe system yangu how it works but mimi siuzi chakula,na evaluation ni 97% orders zote zimefanikiwa,mtu anaeweza kuweka order mara nyingi ni mtu ambae yupo serious na anachotaka na pia ni mtu ambae yupo aware na io serviceSawa........
nitumie hapa......
Preta el Chapo
p.o.box 254
Dar Es Salaam
Preta biashara ya pay on delivery tanzania ipo sana na kadri siku zinavyozidi kwenda inazidi kukua,alichoeleza mkuu hapo tayari kipo na kina work out tena saaana,mfano hello food wapo na migahawa yote hapa town na wanapiga bao la kisigino,na tunaposema pay on delivery sio kwamba system imekaa pasipo kuzungumza,ni hivi mteja kapress oda mfano wa io piza,ile system imekuwa developed kwamba anajaza taarifa zake alipo lkn lazima na mobile namba ajaze,meanwhile wewe muuzaji unakuwa na mtu wa customer support ambae kazi yake ni kufanya confirmation ya uhakika wa mteja,kwamba ni kweli kaweka oda?Je saa ngapi au lini io oda anaitaka apelekewe? Then katika maongezi ana take notes za mteja alipo na jengo gani maarufu lilipo pembeni yake au stand ya daladala n.k lkn msisitizo ni kumsisitiza mteja asizime Simu coz ile oda atakapo pewa mtu WA delivery inakuwa rahisi zaidi kumfikia,i wish nikuoneshe system yangu how it works but mimi siuzi chakula,na evaluation ni 97% orders zote zimefanikiwa,mtu anaeweza kuweka order mara nyingi ni mtu ambae yupo serious na anachotaka na pia ni mtu ambae yupo aware na io service

kama una wasi wasi pay on delivery then naweza kuifanya iwe pay first then order is deliverred......kama utapendelea watumie paypal sawa, master card ni sawa piaAsante kwa kunielewesha........lakini bado sijaridhika.......coz umesema huuzi chakula..........
wacha tusubiri atokee anaeuza chakula.........then nitamuuliza maswali yote niliyo nayo..........
kwa bidhaa zingine sawa..........lakini kwa chakula.......bado nakuwa mzito kwa hapa kwetu...........
Mkuu.......unadhani ni rahisi hivyo kwa malipo unavyofikiri........?.......binafsi kama nina biashara ya kuuza online.........nitataka mteja alipe kwanza........Ili niwe na uhakika wa kuuza..........
watu wengine ni wa ajabu........anaweza kuorder kwa kujaribisha aone itakuwaje.........na akupe address ya uongo.........au ambayo haieleweki.........hiyo hasara unapeleka wapi kama hakulipa mwanzo.......?.......wenzetu wanatumia GPS kufika address husika.........hapa kwetu unafanyaje............?......let's say naishi Manzese au Gongo la Mboto na nahitaji huduma........?.......
hii ipo sana tu hello food wanatufanyia delivery bila tatizo,Asante kwa kunielewesha........lakini bado sijaridhika.......coz umesema huuzi chakula..........
wacha tusubiri atokee anaeuza chakula.........then nitamuuliza maswali yote niliyo nayo..........
kwa bidhaa zingine sawa..........lakini kwa chakula.......bado nakuwa mzito kwa hapa kwetu...........