Frank Hood JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 598 Reaction score 1,383 Apr 20, 2022 #1 Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie.
Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Apr 21, 2022 #2 M bet
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 632 Apr 21, 2022 #3 Frank Hood said: Ni bank gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online.
Frank Hood said: Ni bank gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online.
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,197 Reaction score 31,474 Apr 21, 2022 #4 Frank Hood said: Ni bank gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Kama unanunia vitu vya dollar 50, 100, 300, 1000 tumia mpesa, tigo au airyel mastercard/visa
Frank Hood said: Ni bank gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Kama unanunia vitu vya dollar 50, 100, 300, 1000 tumia mpesa, tigo au airyel mastercard/visa
Frank Hood JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 598 Reaction score 1,383 Apr 21, 2022 Thread starter #5 Eng Kahigwa said: Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online. Click to expand... Shukurani ila makato yake yankuwaje?
Eng Kahigwa said: Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online. Click to expand... Shukurani ila makato yake yankuwaje?
Frank Hood JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 598 Reaction score 1,383 Apr 21, 2022 Thread starter #6 Nafaka said: Kama unanunia vitu vya dollar 50, 100, 300, 1000 tumia mpesa, tigo au airyel mastercard/visa Click to expand... Shukurani,makato yake je yanakuwa vp
Nafaka said: Kama unanunia vitu vya dollar 50, 100, 300, 1000 tumia mpesa, tigo au airyel mastercard/visa Click to expand... Shukurani,makato yake je yanakuwa vp
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,197 Reaction score 31,474 Apr 22, 2022 #8 Frank Hood said: Shukurani,makato yake je yanakuwa vp Click to expand... Makato siwezi kwambie exactly ila yako chini tu mkuu
Frank Hood said: Shukurani,makato yake je yanakuwa vp Click to expand... Makato siwezi kwambie exactly ila yako chini tu mkuu
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 632 Apr 22, 2022 #9 Frank Hood said: Shukurani ila makato yake yankuwaje? Click to expand... Kujiunga ni 2,000 tu..
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,763 Reaction score 46,854 Apr 22, 2022 #10 Frank Hood said: Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Barclays bank Visa Card, ila uwe unaweka kile kiasi cha pesa unachohitaji kulipia tu, usiweke savings humo, huwa wanatania ya kukata zaidi kwa bahati mbaya
Frank Hood said: Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie. Click to expand... Barclays bank Visa Card, ila uwe unaweka kile kiasi cha pesa unachohitaji kulipia tu, usiweke savings humo, huwa wanatania ya kukata zaidi kwa bahati mbaya
Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,326 Reaction score 1,040 Aug 8, 2022 #11 mfumo wa malipo ya money transfer ukoje