Naomba kuuliza, hivi kuna online meeting ambayo unaweza kuamua ni nani awe kwenye meeting?? Maana mfano Microsoft teams yeyote mwenye app ya Microsoft teams akitumiwa link anaweza akajoin meeting, binafsi naona hii bado security ipo low kwa scenario hiyo
Microsoft teams inayo hiyo feature tayari, kwenye meeting yako weka setttings za lobby zisiruhusu mtu kui gia mpaka utakapomruhusu, pia unaweza kuweka passcode kwenye meeting.
Microsoft teams inayo hiyo feature tayari, kwenye meeting yako weka setttings za lobby zisiruhusu mtu kui gia mpaka utakapomruhusu, pia unaweza kuweka passcode kwenye meeting.