Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,922
Mzee vyote hivo sina.nina ka namba ya nida tu.Sio lazima utumie Kitambulisho cha NIDA, tafuta ID nyingije Eg. D. License, VR ID nk achana na mambo ya NIDA
Aisee wahusika waangaalie hiliMimi hii ni wiki ya pili nimechemsha kupata loss report online. Na malipo yangu yamepokelewa juzi.
Ahaaa,huku namtumbo nimechukua leo nimepewa hard copy
Kama umelipia na unaambiwa haujalipa nenda na control number yako kituo chochote cha police wataiactivate kisha unaenda kuprint report yakoMimi nimelipia lakini naambiwa sijafanya malipo
Kuwa mwangalifu usikosee hata spelling kumbuka vizuri majina uliyojaza wakati unaomba kitambulisho pia kuna muda mwingine system inakuwa chini penda kujaribu asubuhi kuliko mchanaMzee vyote hivo sina.nina ka namba ya nida tu.
Kwani unalipia kwanzaMimi nimelipia lakini naambiwa sijafanya malipo
Bro nimecheki mara nyingiKuwa mwangalifu usikosee hata spelling kumbuka vizuri majina uliyojaza wakati unaomba kitambulisho pia kuna muda mwingine system inakuwa chini penda kujaribu asubuhi kuliko mchana
Ukishajaza kila kitu wanakupa control number ulipie, ukishalipa ndio inakuja uidownload sasa badala ije nidownload inanijibu sijalipiaKwani unalipia kwanza
Nenda stationery maalum zipo karibu na vituo vyote vya polisi watakujazia kwa malipo madogoMzee vyote hivo sina.nina ka namba ya nida tu.
mimi nilipata baada ya siku kumi na kulipia mara tatu,ilikuwa kila nikilipa naenda polisi wanasema haineshi kama nimelipa wakati risiti nakuwa nayoMimi hii ni wiki ya pili nimechemsha kupata loss report online. Na malipo yangu yamepokelewa juzi.