Online businesses [emoji3525]

JesusMyMaker

Member
Joined
Jun 2, 2019
Posts
60
Reaction score
41
Habari,
Jamani kuna mtu IG anajiita #vifurushi_mitandao yote(Kama sjakosea)
Asee huyu mtu nlim DM akanishawish kwa screenshot nkapenda huduma hiyo nkamtumia elfu 10
Yani unambia baada ya kutuma tu ile account naona haina tena post hata moja na zile message zake alzo ntumia namba ya kutumia Ela kesha zifuta

Aseee wazee don't try
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unapenda kitongaa
 
Unamfamu?
 
Mjini ni shule tosha
 
Pole tujitahidi kuwa waangalifu watu sisi njaa tupu neema ikijileta tunapita nayo hatuitaji kuwa tumeacha maumivu kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…