WADAU habari za siku nyingi.
Nimeona mahali kuwa kuna online backup.
Naomba mwenye ufahamu mkubwa nayo anijulishe.Nina backup kwenye external hard drive lakini mara ya mwisho nili scan nikagundua kuna kirusi na nina wasiwasi ninaweza kupoteza mafaili yangu na hasa picha mbalimbali za ukumbusho.