na sisi ambao tulikuwa hatuna hizo pass ila si vibaya tukawanazo kipindi hichi but kuna kipengele unatakiwa ujaze unakwenda wapi..... kwa mimi sina safari ila naitaka pass sasa nitasema naenda wapi?
Si juzi hapa walisema hadi uwe unasafiri ndio unapewa kile sio kitambulisho.
Duh baba jesca kaamuaSi juzi hapa walisema hadi uwe unasafiri ndio unapewa kile sio kitambulisho.
Hivi passport si ni haki ya msingi kila RAIA anapaswa kua nayo, au?Si juzi hapa walisema hadi uwe unasafiri ndio unapewa kile sio kitambulisho.
na sisi ambao tulikuwa hatuna hizo pass ila si vibaya tukawanazo kipindi hichi but kuna kipengele unatakiwa ujaze unakwenda wapi..... kwa mimi sina safari ila naitaka pass sasa nitasema naenda wapi?
kwani anayebadilisha ni sawa na kuomba upya, data na kila kitu si wanacho, nilimsikia yule mama mkuu wa uhamiaji akidai ukishajaza unaenda na kitambulisho chako tu, na vile vile hii form naona kama upo tz unatakiwa uilipie elf 20 hivyo basi ni jumla ni laki na 70 na sio laki na nusu kama walivyosema wao,na sisi ambao tulikuwa hatuna hizo pass ila si vibaya tukawanazo kipindi hichi but kuna kipengele unatakiwa ujaze unakwenda wapi..... kwa mimi sina safari ila naitaka pass sasa nitasema naenda wapi?
kweli mkuu nimeona ina mapungufu hii form, watu wa IT wa Uhamiaji waiangalie tena kwa undaniHuu mfumo wao unamapungufu, backend wametumia vanilla php halafu hawako nondo sana kwenye upande wa security. Front end UI haiko friendly kabisa ndio maana hata mtoa maada amekwama.
Sijui walitumia gharama kiasi gani kuunda huo mfumo. Nikisema sana naweza kukamatwa kwa uchochezi ngoja ni mute, wakipigwa wataamka🙄
sasa kwenye kubadilishwa hicho kipengele ndio sikioni, swali langu nimeuliza tunaenda kipengele gani manake hapo ni kwa wale wanaoomba upya, na wanaofatilia kama hawajapata majibu,Yaani fomu pekee 20000
Ila twaruhusiwa badilisha hata kama haijaisha
mbona huwa kinaombwa sector nyingine ingawa sio lazima lakini kuna kipengele wanauliza kama una passport