onja onja co nzur

onja onja co nzur

Joined
Feb 21, 2012
Posts
9
Reaction score
2
guyz..................
he/she whu tastes too much developes a peachant for tasting hence is never satsified by anybody.....namaanisha kuwa kutokuwa kwako na msimamo wa kuwa na msululu wa wenza mpk wengine umewasahau just tu kuonja tu ladha tofauti ndiko kunakokupelekea kutoridhika na mwenza mmoja,kamwe hautatosheka,utaingia na tabia zako za kishamba mpaka kwenye ndoa cuz hautatosheka na mkeo /mumeo kwa kumkopare na ex zako ............
 
Neno la Bwana YESU ndilo jibu la matatizo mbalimbali ya wanadamu,
 
Huo ndo ukweli "mtizamo wangu"....
 
Back
Top Bottom