Ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii Tanzania, usalama na amani vimeongezeka au vimepungua?

Fikra Angavu

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
301
105
Tukiachilia mbali kusambaratika kwa maadili yetu kwa kuiga maisha na tamaduni za nchi za magharibi.

Je hii mitandao ya kijamii na ongezeko la matumizi ya intaneti,vimechangia vipi usalama na amani ya taifa letu?

Vimeongezeka au vimepungua?
 
Back
Top Bottom