Ongezeko la mapato,tarura Wezi wamestafu kazi?walipaji wameongezeka?au mfumo unaziba mianya kwa majizi kuacha kuiba?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nchi ya Tanzania, Iko katika mtanzuko wa matumizi ya mifumo katika ukusanyaji wa Kodi kwa njia ya mifumo.

Nina sema Iko katika mtanzuko, kwa maana moja mifumo inayotumika katika ulipaji wa mapato katika nchi si mfumo mmoja ni mingi Sanaa, uwepo wa mifumo hii mbalimbali inachagiza uwepo wa mianya ileile ya wizi iliyokuwa inajitokeza apo awal, katika kuchagiza Ili niseme wazi hata Rais wa nchi aliwai kulisemea yakuwa Ili tuwe na ufanisi lazima nchi iwe na mfumo mmoja tu na hii najua hata kama Rais aliagiza hii kitu haitakaa kamwe ifanyiwe kazi kamwe kwani ni kichaka Cha upigaji na ni kichaka ambacho hata tufanyeje SI kichaka Cha watu WA chini ni kichaka Cha mijitu mikubwa sana serikalini.

Nikiache kichaka hicho, leo nimewaona Tarura kwa upande wa Dsm wakijisifia yakuwa mapato yanayotokana na makusanyo ya maegesho yameongezeka,kutoka milioni 20m mpaka 40m,( mijizi ilikuwa inaiba nusu ya makusanyo kabisa) wanadai yameongezeka kisa malipo kupitia online! Je online hiyo anae kata tiketi ni mtu huyo huyo Alie kuwa anaiba hapo awali? Mikono iliyokusanya nje ya online Ndiyo inayokusanya ndani ya online sio?

Serikali na vyombo vyake isibweteke na kauli za ngiriba hizi hawa watu wanatafuta kiki baada ya hapo wataanza kutengeneza risit kama hizo hizo FEKI na kutupatia sisi tunao paki gari na kwa kuwa hatupo makini kusoma tutapewa marisit feki na kusepa uku Kodi imekwepwa.

Nalisema Ili hata pale Mwendokasi Dsm tulio kuwa makini tuliwabaini wajanja walioanza kutuuzia tiketi za michongo baada ya kuwa wamejisfia sana.

Ili limeniopesha sana bàada ya kuona kuwa Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dsm nae akilipigia chapuo, jamani kuweni macho hapo Liko jambo soon litakuja.ccm ukiona kiongozi mkubwa km anasifia lazima Kuna baasha ilipelekwa kwake la sivyo alitakiwa kuhoji waliokusanya Kodi hizo walitumia mikono kukusanya Sasa HIV wanatumia mikono hiyo hiyo? Angeoji. Je ongezeko Ili linaashiria wapakiji kuongezeka?
 
Milion 40 kwa siku au kwa saa?
 
Back
Top Bottom