Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Bei yake inaanzia 1.8milioni mpaka 2.7milioniRam 24 GB
Internal storage 1TB
Bei million ngapi?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kama tecno spark au camon aaahaahaa ila wachina wana infinix tecno itel nyuma wameweka urembo wa kamera kama jiko la umeme unakuta wameweka 3 ila 1 tu ndo kamera mengne ni urembo tuMuundo wa camera ya nyuma tuu ndo napochoka na hizi simu
Dah niliwahi kuwa na Tecno flan hv Ina camera mbili ila moja ndo inafanya kaziKama tecno spark au camon aaahaahaa ila wachina wana infinix tecno itel nyuma wameweka urembo wa kamera kama jiko la umeme unakuta wameweka 3 ila 1 tu ndo kamera mengne ni urembo tu
๐คฃ๐คฃ๐Ubatili mtupu.
Huu muundo hata mimi sijawahi kuupenda kabisa.Muundo wa camera ya nyuma tuu ndo napochoka na hizi simu
Siwez nunua simu kwa bei hizo hata niwe na kiwanda cha ku print hela.Bei yake inaanzia 1.8milioni mpaka 2.7milioni
Muundo wake mbaya ila kwa hizo properties hakika ni mashine๐ข๐ป๐ฒ๐ฃ๐น๐๐ ๐ญ๐ฏ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ผ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ ๐ถ๐ฝ๐ต๐ผ๐ป๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด ๐ฎ
View attachment 3140069
Linapokuja issue ya simu Bora za flagship basi wengi wetu huwa kwenye akili zetu huwa tunataja Samsung, iphone na Google vipi kuhusu Oneplus wengi wanapinga ๐ lakini sio kwa hii simu ni kiboko Yao.
View attachment 3140070
Kampuni ya OnePlus toka china wameleta simu Kali sana aina OnePlus hii ndo best smartphone kwa mwaka 2024. Imekuja processor mpya ya snapdragon 8 Elite, betri la silicon carbon kiboko ya kutunza chaji ikiwa na waterproof imara.
View attachment 3140079
Kwa ufupi tu kuhusu hii simu ๐
โข Kioo chake ni 6.82 inchi BOE X2 OLED 8T LTPO ikiwa Kioo flani hii kipana kiasi ila kembamba chenye kutoa muonekano mzuri wa taswira wakati unaangalia video au kufanya mambo mbalimbali.
View attachment 3140076
โข Ina fingerprint ya mbele ya Kioo iko very ultrasonics iko na kasi kwenye kutoa lock pamoja na kulinda kifaa chako.
View attachment 3140078
โข storage yake sasa kwanza ram 24GB ikiwa na 1TB internal storage ya kuhifadhi vitu mpaka basi inafanya kukupa Uwezo wa kutumia simu bila shida yoyote kuanzia performance na kucheza Game.
โข OnePlus 13 imefanya kushirikiana na hasselblad wameunda kamera yenye kutoa picha Kali sana ikiwa na 50mp Sony LYT 808 Sensor picha ni Kali Sana inatoa nyakati zote.
โข betri lake ikiwa na 600mah silicon carbon ikiwa Ina support 100W Wired charging na 50W Wireless charging yenye kuchaji faster simu na kujaa bila kupata joto.
View attachment 3140074
โข simu hii imekuja ikiwa na software ya OxygenOs 15 na android version 15 iko poa kwenye kufanya multitasking, kutengeneza video content, animation, kucheza game.
View attachment 3140071
Yenyewe wanakupa update ya security ndani ya miaka 5 pamoja na Os update ya miaka minne
Trust me hutokuja kushika hela kwa mentality hiiSiwez nunua simu kwa bei hizo hata niwe na kiwanda cha ku print hela.
NB
Hii ni kulingana na matumizi yangu ya simu.
Vall, text, browse.
Nimemaliza
Ningependa unisaidie kufafanua howTrust me hutokuja kushika hela kwa mentality hii
Sure..hili ndilo nalifanya. I make money ila matumiz yangu makubwa kwakwe siwez kuyaelekeza kwenye tech gadgets. Huko siko kabisaa..Tumia hela kutengeneza pesa๐
Haha nimefurahiNingependa unisaidie kufafanua how
Sure..hili ndilo nalifanya. I make money ila matumiz yangu makubwa kwakwe siwez kuyaelekeza kwenye tech gadgets. Huko siko kabisaa..
Mimi napenda biznes, kujenga etc
Hapa wajanja wachache watakuwa wamekuelewa.๐ข๐ป๐ฒ๐ฃ๐น๐๐ ๐ญ๐ฏ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ผ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ ๐ถ๐ฝ๐ต๐ผ๐ป๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด ๐ฎ
View attachment 3140069
Linapokuja issue ya simu Bora za flagship basi wengi wetu huwa kwenye akili zetu huwa tunataja Samsung, iphone na Google vipi kuhusu Oneplus wengi wanapinga ๐ lakini sio kwa hii simu ni kiboko Yao.
View attachment 3140070
Kampuni ya OnePlus toka china wameleta simu Kali sana aina OnePlus hii ndo best smartphone kwa mwaka 2024. Imekuja processor mpya ya snapdragon 8 Elite, betri la silicon carbon kiboko ya kutunza chaji ikiwa na waterproof imara.
View attachment 3140079
Kwa ufupi tu kuhusu hii simu ๐
โข Kioo chake ni 6.82 inchi BOE X2 OLED 8T LTPO ikiwa Kioo flani hii kipana kiasi ila kembamba chenye kutoa muonekano mzuri wa taswira wakati unaangalia video au kufanya mambo mbalimbali.
View attachment 3140076
โข Ina fingerprint ya mbele ya Kioo iko very ultrasonics iko na kasi kwenye kutoa lock pamoja na kulinda kifaa chako.
View attachment 3140078
โข storage yake sasa kwanza ram 24GB ikiwa na 1TB internal storage ya kuhifadhi vitu mpaka basi inafanya kukupa Uwezo wa kutumia simu bila shida yoyote kuanzia performance na kucheza Game.
โข OnePlus 13 imefanya kushirikiana na hasselblad wameunda kamera yenye kutoa picha Kali sana ikiwa na 50mp Sony LYT 808 Sensor picha ni Kali Sana inatoa nyakati zote.
โข betri lake ikiwa na 600mah silicon carbon ikiwa Ina support 100W Wired charging na 50W Wireless charging yenye kuchaji faster simu na kujaa bila kupata joto.
View attachment 3140074
โข simu hii imekuja ikiwa na software ya OxygenOs 15 na android version 15 iko poa kwenye kufanya multitasking, kutengeneza video content, animation, kucheza game.
View attachment 3140071
Yenyewe wanakupa update ya security ndani ya miaka 5 pamoja na Os update ya miaka miha